Swali zuri sana.Wewe unatumia cm gani?
Kusoma 5g inadepend na sababu tofauti tofautiSijawahi ona simu yoyote ya Google pixel au Aquos au brand nyingi za kimarekani au kijapani zikisoma 5G hapa bongo
Kama kuna mtu anatumia simu tajwa hapo na inapanda hadi kuweka nembo ya 5G au neno 5G juu ya screen yake basi aweke screenshot aniumbue hapa
Ukweli wa hizo simu mwisho wa network niloona ni LTE karibia zote nilizowahi kuziona 5G yao kibongobongo hamna labda huko nchi zao ila kwa hapa sijawah kuona
umejaribu kucheki line unayotumia mkuu?maana ili upate 5g lazima line pia iwe inasupport 5g
Kusoma 5g inadepend na sababu tofauti tofauti
1.Network coverage
Ya eneo hilo inasoma 5g
2.je simcard yako ni 5g ?
3.network mode
Je umeselect auto,au 3g only au 4g/3g
Kakojoe ukalale
My love mwambie natumia 9 pixelWewe unatumia cm gani?
9 pixel ndio nini ?My love mwambie natumia 9 pixel
Google pix 99 pixel ndio nini ?
Utakua umeongea kwa kuropoka mi nipo dukani kabisa nauza hizo simu mkuu.Hivi kwa akili zako unadhani mpaka nafanya hizo research silijui hilo?
OkayGoogle pix 9