Mimi Ni user wa Pixel Phone, Izi simu kwa Bongo ni kama hazipandishi 5G ila ukiwa Nje inapandisha kutegemea na Eneo, Niliwahi Kuwa Nchi fulani na Ilikuwa inapandisha 5G, Ila kwa uzoefu wangu Hizi Pixel nyingi hazikuwa designated kuja Bongo ndio mana unakuta zina some restrictions hata VOlte tu nyingi unaona kama hazina mpaka unlock ndio utapata Volte kwa wale wenye Carrier providers wanao support VOLTE
Bby akikujibu?Wewe unatumia cm gani?
hivi kutumia 5g ni lazima kwenda kubadili laini? mi nakumbuka tuliswap laini 4g ilivyoingia lakini 5g sijasikia.Kusoma 5g inadepend na sababu tofauti tofauti
1.Network coverage
Ya eneo hilo inasoma 5g
2.je simcard yako ni 5g ?
3.network mode
Je umeselect auto,au 3g only au 4g/3g
Kakojoe ukalale
LTE sio 5G....
Simu gani hii mkuu
LTE sio 5G....