Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini?

Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu

Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa soko fikiria mara mbili mbili

Mbowe hajaongea lolote kuhusu CAG

Niishie hapo!
 
Sasa yule spika mjinga mjinga alipata wapi taarifa kuwa Mbowe kazungumzia taarifa ya SI EI GII?
 
Ukiona uwanja wa ndege unaitwa Nyerere ujue huyo Nyerere amekaa ki matawi.
Masoko ya mboga sehemu nyingi yanaitwa soko mjinga. Kama Kuna soko mjinga linaitwa jina la mtu......
Hahahaaaa........ Soko mjinga!
 
Ilibidi mwendazake afanye mambo kama hayo ili aweze kuliweka bunge kwenye mfuko wake wa shati.
 
Hakuna kiongozi yoyote jizi la kura linaweza kuwa kiongozi mkubwa. Labda useme kiongozi mnene lakini sio Great leader.
 
Hii ya leo Kali. Unajua sijawahi kufikiria kwa nini soko la Spinach lipewe jina la Bosi wa Wawakilishi?
Si ajabu Mbowe Zitto ghafla.
 
Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini?

Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu

Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa soko fikiria mara mbili mbili

Mbowe hajaongea lolote kuhusu CAG

Niishie hapo!
Sina mbavu, nipo hapa Singida naelekea Moshi mjini.
 
Back
Top Bottom