johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa........ Soko mjinga!Ukiona uwanja wa ndege unaitwa Nyerere ujue huyo Nyerere amekaa ki matawi.
Masoko ya mboga sehemu nyingi yanaitwa soko mjinga. Kama Kuna soko mjinga linaitwa jina la mtu......
Wachina usiwachukulie poa bwashee!Sasa yule spika mjinga mjinga alipata wapi taarifa kuwa Mbowe kazungumzia taarifa ya SI EI GII?
Bora angempa ile stendi ya kimataifa ya Dodoma.Ilibidi mwendazake afanye mambo kama hayo ili aweze kuliweka bunge kwenye mfuko wake wa shati.
Sasa yule spika mjinga mjinga alipata wapi taarifa kuwa Mbowe kazungumzia taarifa ya SI EI GII?
Kila mtu alipewa zawadi kulingana na hadhi yake.Bora angempa ile stendi ya kimataifa ya Dodoma.
Soko?.......hilo walipaswa kupewa akina Kibajaji!
Ilikuwa ni zamu ya Tulia!Sasa nimekuelewa..
Sina mbavu, nipo hapa Singida naelekea Moshi mjini.Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini?
Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu
Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa soko fikiria mara mbili mbili
Mbowe hajaongea lolote kuhusu CAG
Niishie hapo!