Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Dona kama dona haujambo lakini?Furahia mapenzi...
Furahia utamu...
Furahia ndoa...
NB: Usije msahau Mungu wako maana kuna majira ya kucheka na kulia...
Yeah wanawake wanatumia zaidiMbura...mbuta...Umenikumbusha mother angu alikua akipata habari za kushangaza alikua lazima ataje hayo maneno π π€£
Namuahidi mwezi wa6 nitaufufua huu Uzi atupe feedback.Upo kwenye penzi jipya kwanza limeanza. Subiri muda ndiyo utakuja kugundua hiki ulichoandika hakina maana yoyote.
Mapenzi ndiyo huanza hivyo ila huko mbele ndiyo utajua kuwa ni utapeli
Sijambo mie, za wewe?Dona kama dona haujambo lakini?
Sio wanawake bwanaaa ni jamii ya wachaga..Yeah wanawake wanatumia zaidi
Nacheka kwa sauti hapa maana nipo kwa wachaga nakula ndiziπ€£π€£π€£Sio wanawake bwanaaa ni jamii ya wachaga..
Kwavile umeamua kutudanganya mpaka hatua ya kununia gari sis tunakusalimu Kwa jina la jamhuriWakuu,
Ambao hamjapata muwapendao poleni sana,najua mnapitia changamoto sana~ukitupia ndoano samaki anaikwepa,mnahangaika wallah.
Wakuu,baada ya kuhangaika sana kumtafuta nimpendae basi bwana nimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha MUNGU.
Aise sijawahi kupewa penzi kama hili, amekamilika kila kona,yaani both ktk kutimiza majukumu kama mke na kitandani pia hajambo.
Chochote nitakacho napewa,nikijikwaa kdg tu nipatewa pole na machozi yatatoka kunililia eti nimeumia
Sasa nimeona isiwe tabu,jana nimetoka kujitambulisha kwao na mwezi wa nne atakuwa mke wangu rasmi.
Na leo nimetoka kupokea gari bandarini kwa ajiri ya kumpa zawadi ya valentine hapo kesho kutwa. Ambao hamna wapenzi mtajijua wengine tupo dunia yetu.
Karibuni valentine day nyumbani kwangu majimatitu dar~es~salaam.
πππππUpo kwenye penzi jipya kwanza limeanza. Subiri muda ndiyo utakuja kugundua hiki ulichoandika hakina maana yoyote.
Mapenzi ndiyo huanza hivyo ila huko mbele ndiyo utajua kuwa ni utapeli
Tumstue dogo au tumuache kwanzaChai
Muache usimsanueUshakaa kwenye mfumo subiri dozi inakuja.
Haaahaa π inapendeza sanaaNacheka kwa sauti hapa maana nipo kwa wachaga nakula ndiziπ€£π€£π€£
Mpaka hapo sio wako huyo π π€£π€£π€£nimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha
Si umuache ampe hilo gari na wewe...Mbura unaenda kutapeliwa mekuπ€£π€£π funguka hiyo akili mafi wewe
Mpaka hapo sio wako huyo πnimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha
π€£π€£π€£π€£
Tatizo la kuamka na wari mshiki nimevunja ile mila yetu πSi umuache ampe hilo gari na wewe...
Ukojeπ π π