Sijawahi kuona Upendo kama huu anaonipa huyu Dada

Sijawahi kuona Upendo kama huu anaonipa huyu Dada

Upo kwenye penzi jipya kwanza limeanza. Subiri muda ndiyo utakuja kugundua hiki ulichoandika hakina maana yoyote.
Mapenzi ndiyo huanza hivyo ila huko mbele ndiyo utajua kuwa ni utapeli
Namuahidi mwezi wa6 nitaufufua huu Uzi atupe feedback.

Mkuu holoholo ulimkuta bikira? Kama sivyo huu ujasiri unautoa wapi?

Kwisha habari Yako
 
Wakuu,
Ambao hamjapata muwapendao poleni sana,najua mnapitia changamoto sana~ukitupia ndoano samaki anaikwepa,mnahangaika wallah.

Wakuu,baada ya kuhangaika sana kumtafuta nimpendae basi bwana nimejikuta ninampata dada mmoja mrembo kuzidi wote,mweupe,trako kama mlima kilimanjaro,mpole na mcha MUNGU.

Aise sijawahi kupewa penzi kama hili, amekamilika kila kona,yaani both ktk kutimiza majukumu kama mke na kitandani pia hajambo.

Chochote nitakacho napewa,nikijikwaa kdg tu nipatewa pole na machozi yatatoka kunililia eti nimeumia

Sasa nimeona isiwe tabu,jana nimetoka kujitambulisha kwao na mwezi wa nne atakuwa mke wangu rasmi.

Na leo nimetoka kupokea gari bandarini kwa ajiri ya kumpa zawadi ya valentine hapo kesho kutwa. Ambao hamna wapenzi mtajijua wengine tupo dunia yetu.

Karibuni valentine day nyumbani kwangu majimatitu dar~es~salaam.
Kwavile umeamua kutudanganya mpaka hatua ya kununia gari sis tunakusalimu Kwa jina la jamhuri

Tunakunywa kahawa na kashata
 
Upo kwenye penzi jipya kwanza limeanza. Subiri muda ndiyo utakuja kugundua hiki ulichoandika hakina maana yoyote.
Mapenzi ndiyo huanza hivyo ila huko mbele ndiyo utajua kuwa ni utapeli
😂😂😂😂😂
 
Eti mpole mcha Mungu, huku mnafunuana tu. Shenzi wewe kaoe
 
Back
Top Bottom