Sijawahi kuona Upendo kama huu anaonipa huyu Dada

Penzi jipya huwa halishauriki hahaha pole mdau,,nasubr uzi wa visa na matukio tu hapa ni suala la muda tu.
 
Hongera, ila mapema sana kuimba pambio lako.
 
Usisahau kutunza kumbukumbu vizur sana saw kiongoz
 
Upo kwenye penzi jipya kwanza limeanza. Subiri muda ndiyo utakuja kugundua hiki ulichoandika hakina maana yoyote.
Mapenzi ndiyo huanza hivyo ila huko mbele ndiyo utajua kuwa ni utapeli
✌️
 
unaweza kuta huyo dada analipa fadhila tu.ila ndohovyo mwamba anaona ni neema imeshishwa
 
Hongera mkuu bt wasiwasi wangu ni jambo Moja huyo mwanamke amekupenda kweli au Kuna kitu amekiona kutoka kwako na pia huyo mwanamke hujamjua ana tabia Gani na lingine kama hujamkuta na bikira ujue huyo ni Cha wote na utakuja kuleta mrejesho hayo nayokwambia
 
kijana inaelekea wewe ni mgeni kwenye haya mambo, nakutahadharisha nenda taratibu na shirikisha vizuri kichwa chako.
 
Kumbe hata ww unamjua huyo malaya 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…