Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani

Mkitaka nitukaneni lakini mimi najua kinachofanya mtu akose ajira ni degree program aliyosoma na sio chuo.... kama coz haina tija imekula kwako
 
Utawaona wapi? wakati ulikuwa shule kwenu huko unatawa kijana wa mlugo sasa hivi unasubiria post za chuo basi unajidai mjuaji kupost upuuzi wako muda wote kuna kuna mpuuzi mwenzako alikuwa ajiita mpiga msuli unajua nikichompata?

Ni kwambie kwa taifa hili haijalishi umesoma wapi na umepata nini inshu ni connection.
 

Hawa watoto wa brn bwana! Ujuaji mwiiiingi, kumbe kichwani hakuna kitu, wakiota tu usiku wanakuja kuweka huku upuuz wao!

Dogo mleta mada usijidanganye na title ya chuo, afu et mzumbe!
 
Ha ha ha... Ki ukweli hata wengi waliofanikiwa kupata ajira bado wanaganga njaa. Bahati nzuri tu loan tumeficha dhiki za watu wengi. We usione wengi tuko bara barani, Ni mikopo ya mabenki hiyo...
 
Mkuu naona unaongea usichokijua, Chuo cha mzumbe kimebobea kwenye fani kama za utawala na usimamizi, uhasibu.

Sijabisha but acha kupotosha wanajamvi kwa ulichopost MZUMBE n course inazotoa ziko karibu vyuo vyote Tanzania so acha upotoshaji na kuendeleza ushabiki wa vyuo mada ambazo zmeshajadiliwa kitambo sana humu
 
Mkuu hao pia ni waganga njaa mjini hakuna ukweli wowote hapo.

embu kwanza pata ushuhuda wa kutosha toka kwa wakongwe waliosota mda mrefu mpaka kupata kazi na wale wanaoendelea kutafuta kazi mda mrefu bila mafanikio.

yaonekana we bado kinda na huna experience ya kutosha juu ya utafutaji ajira.mie nilisha pitia huko kitambo,kwa sasa nipo kivurini napunga upepo wa bahari.

kuwa uyaone.
 
Hivi yule bwana mdogo Mpiga Msuli yuko wapi siku hizi??
 

Sasa mkuu kejeli za nini na wakati huu ni mjadala wa kawaida tu, usinifananishe mimi na Mpiga msuli yeye alikuwa anakashifu watu lakini mimi hutaniona nikikashifu mtu humu.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watoto wa brn bwana! Ujuaji mwiiiingi, kumbe kichwani hakuna kitu, wakiota tu usiku wanakuja kuweka huku upuuz wao! Dogo mleta mada usijidanganye na title ya chuo, afu et mzumbe!

Mkuu socrate jr hujakatazwa na wewe kuanzisha thread na kama unaona ni ujinga basi kaa mbali sio lazima ukomenti.
 
Last edited by a moderator:
Kapate kwanza degree ndo uje uongee huku, acha porojo zako znazonuka u form six bwanamdogo

Hata wewe kama uko na degree yako unaonekana bado hujakomaa kitaaluma, na hii inanidhihirishia wewe ni mmoja wa wanoukufa njaa kitaaa. Sasa kwa nini umtukane mwenzio mitusi yote hiyo na kumshushia heshima. Msomi siku zote anajibu kwa hota na kuchanganua mambo na kuja na facts. Kwa mfano hapa ungeweza kupinga kwa kuja na takwimu za wasomi waliopata kazi n.k... Grow up mkuu.
 
Sasa mkuu kejeli za nini na wakati huu ni mjadala wa kawaida tu, usinifananishe mimi na Mpiga msuli yeye alikuwa anakashifu watu lakini mimi hutaniona nikikashifu mtu humu.

Kejeli umeanzisha mwenyewe!

And majibu ya kejeli hujibiwa kwa kejeli,maana unataka kutuaminisha kwamba products za mzumbe ni pure cleam, ambazo zinauzika sokoni!

Mbona kuna vijana wa mzumbe wapo kibao wanaishi kwa shemeji zao, waliowaoa dada zao?

Nimekuambia kuna kijana kasoma mzumbe BAF katoka 2009, hadi leo hana hazi,bmbaya zaidi anaishi kwa shemeji, ili aweze kusoma walau daily news...!!
Nimekufananisha na mpiga msuli maana tabia za kushindanisha vyuo alikua nazo pia kama unavyofanya wewe!!

Sijui umesoma kozi gani, kuna nafasi ya kazi offisini ya Assistant Finance omba, kama ni field yako, zen tuone kina nani wataitwa! Nipm nikupe tangazo
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nakushuru kwa kumpa darsa huyo, Anashindwa kubisha kwa facts alafu anajiita msomi.
 
Njoo mtaani kwetu nikupe ushuuda. Wapo sana tena wenye course za science
 

Weka mada yenye source zakutosha uone kama tutaandika maaambo meeengi hvi. Kuleta nyuzi zsizokuwa na uhalisia ndio maana watu tunararuka kwa hasira mkuu. Ila usikonde kaujumbe nmekapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…