Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkitaka nitukaneni lakini mimi najua kinachofanya mtu akose ajira ni degree program aliyosoma na sio chuo.... kama coz haina tija imekula kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IFM ndio wanaotamba mjini
Mkitaka nitukaneni lakini mimi najua kinachofanya mtu akose ajira ni degree program aliyosoma na sio chuo.... kama coz haina tija imekula kwako
Utawaona wapi?wakati ulikuwa shule kwenu huko unatawa kijana wa mlugo sasa hivi unasubiria post za chuo basi unajidai mjuaji kupost upuuzi wako muda wote kuna kuna mpuuzi mwenzako alikuwa ajiita mpiga msuli unajua nikichompata?ni kwambie kwa taifa hili haijalishi umesoma wapi na umepata nini inshu ni connection
Mkuu lakini kumbuka Mzumbe na Ardhi hakuna kozi yenye jaa hata moja.
Mkuu naona unaongea usichokijua, Chuo cha mzumbe kimebobea kwenye fani kama za utawala na usimamizi, uhasibu.
Mkuu hao pia ni waganga njaa mjini hakuna ukweli wowote hapo.
Utawaona wapi?wakati ulikuwa shule kwenu huko unatawa kijana wa mlugo sasa hivi unasubiria post za chuo basi unajidai mjuaji kupost upuuzi wako muda wote kuna kuna mpuuzi mwenzako alikuwa ajiita mpiga msuli unajua nikichompata?ni kwambie kwa taifa hili haijalishi umesoma wapi na umepata nini inshu ni connection
Hawa watoto wa brn bwana! Ujuaji mwiiiingi, kumbe kichwani hakuna kitu, wakiota tu usiku wanakuja kuweka huku upuuz wao! Dogo mleta mada usijidanganye na title ya chuo, afu et mzumbe!
Kapate kwanza degree ndo uje uongee huku, acha porojo zako znazonuka u form six bwanamdogo

Hivi yule bwana mdogo Mpiga Msuli yuko wapi siku hizi??
Mkuu socrate jr hujakatazwa na wewe kuanzisha thread na kama unaona ni ujinga basi kaa mbali sio lazima ukomenti.
Sasa mkuu kejeli za nini na wakati huu ni mjadala wa kawaida tu, usinifananishe mimi na Mpiga msuli yeye alikuwa anakashifu watu lakini mimi hutaniona nikikashifu mtu humu.
Hata wewe kama uko na degree yako unaonekana bado hujakomaa kitaaluma, na hii inanidhihirishia wewe ni mmoja wa wanoukufa njaa kitaaa. Sasa kwa nini umtukane mwenzio mitusi yote hiyo na kumshushia heshima. Msomi siku zote anajibu kwa hota na kuchanganua mambo na kuja na facts. Kwa mfano hapa ungeweza kupinga kwa kuja na takwimu za wasomi waliopata kazi n.k... Grow up mkuu.