flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
Nani amekwambia anautaka muungano?
Hizo kelele wapigieni viongozi wenu ndo wanafiki wakubwa.
We pimbi kweli kumbe? Sisi watu wamefungwa coz ya kuupinga muungano mbona nyinyi hajawahi kusimama mtu kusema anautaka?msilete unafiki hapa,kuna mabango kila kona huku muungano hawautaki mbona nyinyi hata kuongea hamuongei,then umeiingiza mada sio sehemu Yake,ungekua unataka ufumbuzi wa hili unalijua jukwaa nenda kaanzishe thread yako.sibishani tena na wewe,njoo zako suza uje usome uone nani atakusumbua,