Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani

Nani amekwambia anautaka muungano?

Hizo kelele wapigieni viongozi wenu ndo wanafiki wakubwa.

We pimbi kweli kumbe? Sisi watu wamefungwa coz ya kuupinga muungano mbona nyinyi hajawahi kusimama mtu kusema anautaka?msilete unafiki hapa,kuna mabango kila kona huku muungano hawautaki mbona nyinyi hata kuongea hamuongei,then umeiingiza mada sio sehemu Yake,ungekua unataka ufumbuzi wa hili unalijua jukwaa nenda kaanzishe thread yako.sibishani tena na wewe,njoo zako suza uje usome uone nani atakusumbua,
 
Poa mkuu.

Sasa kama wananchi hamuutaki mmeshindwaje kuuvunja? Peoples' power has never failed.

Narudia tena,"hatima ya muungano iko mikononi mwa wazanzibar wenyewe lakini wanaangushwa na unafiki pamoja na usaliti wa viongozi wao wenyewe"

Leo hii viongozi wa JUMIKI/UAMUSHO wanaletwa kushitakiwa bara ili ionekane watanganyika ndo tunanongwa na muungano kumbe ni janja za SMZ kuwahadaa majuha kama wewe.Stuka.

Haya Mkuu dogo atakuwa SUZA panapo majaaliwa.
 
We pimbi kweli kumbe? Sisi watu wamefungwa coz ya kuupinga muungano mbona nyinyi hajawahi kusimama mtu kusema anautaka?msilete unafiki hapa,kuna mabango kila kona huku muungano hawautaki mbona nyinyi hata kuongea hamuongei,then umeiingiza mada sio sehemu Yake,ungekua unataka ufumbuzi wa hili unalijua jukwaa nenda kaanzishe thread yako.sibishani tena na wewe,njoo zako suza uje usome uone nani atakusumbua,

Kama hamtaki union kwanini mnachoma makanisa au makanisa ndio muungano?
 
Ckia kijana hata aliorusha bomu kanisani arusha no mkristo mwenzenu so una uhakika gani aliechoma makanisa ni waislamu?uctake kuanzisha mada hapa coz sio mahala pake,so kama una hoja juu ya hilo nenda jukwaa la sheria
 
Shalom makamanda!

Mbali ya kuwa na changamoto za ukosefu wa ajira na kushuhudia wimbi la vijana wakizunguka na bahasha mitaani,

Lakini hali ni tofauti hasa kwa vijana waliomaliza vyuo vya Mzumbe ( Military university) na Ardhi University wakifa njaa mtaani, hii inatokana na utija wa kozi zinazotolewa kwenye vyuo hivyo pamoja na kuwaandaa vijana vizuri katika soko la ushindani wa ajira.

Kiufupi mwanafunzi yeyote anayepata Neema ya kusoma vyuo hivyo katika kozi yeyote ana haki ya kujiita mwenye bahati sana.
Mkuu MZUMBE hatutoi MD
 
Usiongee usilolijua,hio Ardhi wabara wangapi wana ardhi huku na wanenunua,wamejenga mabar na makanisa kibao mbona hamjapokonywa,serikali ndio haigawi na vile vile mimi serikali ya bara hainipi kiwanja but naweza kununua,
Wewe umeshawahi kukamatwa na leseni ya bara?
Kuitwa chogo usikacrike maana ba sisi mnatuita midebwedo mbona hatuchukii,
Mbona sisi tukisafirisha vitu mnatulipisha ushuru hatukasiriki?
Kama unataka Ardhi Zanzibar njoo utapewa buree,we njoo tu

Mwambie asiombe tu full stop.

Kama hamtaki union kwanini mnachoma makanisa au makanisa ndio muungano?
hivi muungano ukivunjika, wabara tukapandisha ushuru kwa mizigo inayotoka zanzibar, wazanzibar watafanya biashara na nani? bandari yao huru wanayotegemea itakuwaje na ufanisi kama mombasa na dsm tukiwabana mbavu? halafu, wapemba walioko bara tutawapa masaa mangapi kuondoka Tanganyika wakakusanyike pale mchambawima?
 
Unafikir tunaishi kwa kuwategemea nyinyi...anzeni kuwaondosha na wasomali kwanza kama mna ujanja huo,kumbe mna wivu na wapemba sio?acha ujinga kama kweli we mwanaume Fanya action sio kubwabwaja2
 
Shalom makamanda!

Mbali ya kuwa na changamoto za ukosefu wa ajira na kushuhudia wimbi la vijana wakizunguka na bahasha mitaani,

Lakini hali ni tofauti hasa kwa vijana waliomaliza vyuo vya Mzumbe ( Military university) na Ardhi University wakifa njaa mtaani, hii inatokana na utija wa kozi zinazotolewa kwenye vyuo hivyo pamoja na kuwaandaa vijana vizuri katika soko la ushindani wa ajira.

Kiufupi mwanafunzi yeyote anayepata Neema ya kusoma vyuo hivyo katika kozi yeyote ana haki ya kujiita mwenye bahati sana.
Fanya utafiti kwanza wa kina na si kuongea tu kijana au subiri umalize chuo ndo utajua.Issue ya ajira haiendani na chuo kabisa bali ni inahusisha mambo mengi,define,unemployment kwanza na ujaribu kutafakari kwa kina kila factor inayosababisha unemployment na uoanishe na mazingira ya bongo ndo utajua,we mwombe Mungu tu,hakuna cha Mzumbe wala UD kijana,utapotea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndugu yangu kamaliza A hapo kilaza tu hahahahahahaha anachojua niktafuta vya kujigambesa u wnyewe wanaitahabareeee ya mujini hamna lolote
 
Back
Top Bottom