Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani

Labda Ungexema .Muhas,kcmc,cuhas E.T.C. Tungekuelewa Sio Unavyoxema Wewe. Pia Elimu Yako Ninamashaka Nayo
 
karibu ardhi university....hope of africa........ unique
 
Kuna mada uwa kuchangia inatia mashaka. Kwa sababu napata shaka kama muanzisha mada na wanaokubaliana nae bado ni wanafunzi na hawajamaliza vyuo au shule za sekondari.

Tatizo la ajira ni tatizo linalosumbua mataifa mengi ikiwemo USA na mengine makubwa, tena nchi ambazo zina vyuo na taasisi za elimu zinazoheshimika.
 
Mkuu naona unaongea usichokijua, Chuo cha mzumbe kimebobea kwenye fani kama za utawala na usimamizi, uhasibu.

Kama unazungumzia fani ambazo zinatoa ajira kwa urahisi bila shaka utazungumzia Ualimu na udaktari.
 
Mtoa mada ukimaliza karibu kitaaa ndo utajua huku hata mlinzi utamweshimu coz unaamini anaweza akakupa connection na Meneger kitaaa nomaaa asikuambie mtu me ni boni town maisha ya hapa toun yanatia huruma
 
Wakuu mwenye info juu ya SUZA (State University of Zanzibar) especially juu ya suala la ubaguzi basing on udini na ubara.

Nina dogo amejaza MD ya pale kama first choice.
 
Wakati mwingine ni vizuri kujipa moyo kama hivi.
 
Naona umekurupuka kujibu, jitahidi kushirikisha ubongo ktk kuelewa mada.
 
Wakuu mwenye info juu ya SUZA (State University of Zanzibar) especially juu ya suala la ubaguzi basing on udini na ubara.

Nina dogo amejaza MD ya pale kama first choice.

Huyu dogo mwambie anunue mzura na mask ya kuvaa usoni kabisa hasa kama ni mgalatia maana tindikali inahusika kule mkuu.
 
Wakuu mwenye info juu ya SUZA (State University of Zanzibar) especially juu ya suala la ubaguzi basing on udini na ubara.

Nina dogo amejaza MD ya pale kama first choice.

Ujinga tu huo,kwani anakwenda kutangaza dini au?so kama anakwenda kusoma anaogopa nn?mbona kuna wabara kibao wanasoma znz na hawalalamiki kubaguliwa?usiwe na fikra potofu
 
kwa kifupi ndugu, nitakwambia ukweli halisia. hapo nitakuwa na wewe kwenye chuo cha Ardhi ambacho zamani kilikuwa ni UDSM kitengo cha ardhi tu na siku hizi kimejitegemea. chuo cha mzumbe hakina tofauti na chuo cha Tumaini au IMTU. kinazidiwa hata na st.augustine. kwa Tanzania hii, chuo ni udsm, st.augustine, sokoine,mzumbe. na mzumbe hauwezi hata siku moja kulinganisha na udsm, na ajira nyingi wanapewa watu wa udsm kwasababu ndio wanaotoa product bora kuliko v yuo vyote, ukweli unauma lkn ndio huo. hautaelewa hili hata mtu akwambie mara mia kwasababu haujasoma pale, ili uelewe nenda kasome pale utakubaliana na ninachosema.
 
ardhi sawa mzumbe hakun kitu....udsm ndio baba lao
 
Umekosea kujumlisha Ardhi na Mzumbe. Kuna tofauti kubwa sana za viwango vya taaluma kati ya vyuo hivi viwili. Ungesema Ardhi + something else lakini si Mzumbe. Lol!

Ujinga tu huo,kwani anakwenda kutangaza dini au?so kama anakwenda kusoma anaogopa nn?mbona kuna wabara kibao wanasoma znz na hawalalamiki kubaguliwa?usiwe na fikra potofu

Ujinga uko wapi flyn rider hapo?

Hivi umeelewa nilichouliza?

Wapi nimesema anaogopa?

Kuuliza ndo fikra potofu?

Mkuu,ulipaswa kujibu nilichouliza tu kama unaufahamu nacho wala siyo hizi ngonjera zako.
 
Last edited by a moderator:
Ujinga uko wapi flyn rider hapo?

Hivi umeelewa nilichouliza?

Wapi nimesema anaogopa?

Kuuliza ndo fikra potofu?

Mkuu,ulipaswa kujibu nilichouliza tu kama unaufahamu nacho wala siyo hizi ngonjera zako.

Una fikra potofu ndio maana umeuliza hvy,umeckia nani kabaguliwa,kwanza huo ubaguzi umeanza lini?labda uuanze wewe hapa saiv
 
Last edited by a moderator:
Una fikra potofu ndio maana umeuliza hvy,umeckia nani kabaguliwa,kwanza huo ubaguzi umeanza lini?labda uuanze wewe hapa saiv

Mkuu,hivi unafahamu mtu kutoka bara akiwa mitaa ya Zanzibar huitwa CHOGO?

Hivi unafahamu mtu wa bara hawezi kumiliki ardhi(kisheria) Zanzibar?

Hivi unajua driving license ya mtu wa bara haitambuliki Zanzibar?

Haya ni machache tu ya mtaani ndo maana nataka nifahamishwe na hali ya kwenye taasisi za elimu ukizingatia Kuna malalamiko mengi juu ya hujuma inayofanywa na NECTA kwa wazanzibar huku wakiamini wabara hupendelewa katika ufaulu.
 
Usiongee usilolijua,hio Ardhi wabara wangapi wana ardhi huku na wanenunua,wamejenga mabar na makanisa kibao mbona hamjapokonywa,serikali ndio haigawi na vile vile mimi serikali ya bara hainipi kiwanja but naweza kununua,
Wewe umeshawahi kukamatwa na leseni ya bara?
Kuitwa chogo usikacrike maana ba sisi mnatuita midebwedo mbona hatuchukii,
Mbona sisi tukisafirisha vitu mnatulipisha ushuru hatukasiriki?
Kama unataka Ardhi Zanzibar njoo utapewa buree,we njoo tu
 
Kama inakuuma sana vunjeni muungano mbona sisi tunapiga kelele hatuutaki nyinyi mnautaka wa nn?
 
Kama inakuuma sana vunjeni muungano mbona sisi tunapiga kelele hatuutaki nyinyi mnautaka wa nn?

Nani amekwambia anautaka muungano?

Hizo kelele wapigieni viongozi wenu ndo wanafiki wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…