geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
Labda Ungexema .Muhas,kcmc,cuhas E.T.C. Tungekuelewa Sio Unavyoxema Wewe. Pia Elimu Yako Ninamashaka Nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona unaongea usichokijua, Chuo cha mzumbe kimebobea kwenye fani kama za utawala na usimamizi, uhasibu.
akili yako haipo sawa ,jina la chuo linampa mtu ajira au uwezo wa mtu?mbona kuna jamaa zang wamemamaliz hapo ppm na hawajapata kaz?kumbuka kuna vyuo kama sua vinavyotao digrii ambazo haziko vyuo vingine na bado wako mtaani,nahisi bado mwanafunz wa chuo hujamaliza chuo bado ukimaliza utakuja kujionea mtaan hali ipoje, tunakukaribisha
Wakuu mwenye info juu ya SUZA (State University of Zanzibar) especially juu ya suala la ubaguzi basing on udini na ubara.
Nina dogo amejaza MD ya pale kama first choice.
Wakuu mwenye info juu ya SUZA (State University of Zanzibar) especially juu ya suala la ubaguzi basing on udini na ubara.
Nina dogo amejaza MD ya pale kama first choice.
Huyu dogo mwambie anunue mzura na mask ya kuvaa usoni kabisa hasa kama ni mgalatia maana tindikali inahusika kule mkuu.
kwa kifupi ndugu, nitakwambia ukweli halisia. hapo nitakuwa na wewe kwenye chuo cha Ardhi ambacho zamani kilikuwa ni UDSM kitengo cha ardhi tu na siku hizi kimejitegemea. chuo cha mzumbe hakina tofauti na chuo cha Tumaini au IMTU. kinazidiwa hata na st.augustine. kwa Tanzania hii, chuo ni udsm, st.augustine, sokoine,mzumbe. na mzumbe hauwezi hata siku moja kulinganisha na udsm, na ajira nyingi wanapewa watu wa udsm kwasababu ndio wanaotoa product bora kuliko v yuo vyote, ukweli unauma lkn ndio huo. hautaelewa hili hata mtu akwambie mara mia kwasababu haujasoma pale, ili uelewe nenda kasome pale utakubaliana na ninachosema.Shalom makamanda!
Mbali ya kuwa na changamoto za ukosefu wa ajira na kushuhudia wimbi la vijana wakizunguka na bahasha mitaani,
Lakini hali ni tofauti hasa kwa vijana waliomaliza vyuo vya Mzumbe ( Military university) na Ardhi University wakifa njaa mtaani, hii inatokana na utija wa kozi zinazotolewa kwenye vyuo hivyo pamoja na kuwaandaa vijana vizuri katika soko la ushindani wa ajira.
Kiufupi mwanafunzi yeyote anayepata Neema ya kusoma vyuo hivyo katika kozi yeyote ana haki ya kujiita mwenye bahati sana.
kwa kifupi ndugu, nitakwambia ukweli halisia. hapo nitakuwa na wewe kwenye chuo cha Ardhi ambacho zamani kilikuwa ni UDSM kitengo cha ardhi tu na siku hizi kimejitegemea. chuo cha mzumbe hakina tofauti na chuo cha Tumaini au IMTU. kinazidiwa hata na st.augustine. kwa Tanzania hii, chuo ni udsm, st.augustine, sokoine,mzumbe. na mzumbe hauwezi hata siku moja kulinganisha na udsm, na ajira nyingi wanapewa watu wa udsm kwasababu ndio wanaotoa product bora kuliko v yuo vyote, ukweli unauma lkn ndio huo. hautaelewa hili hata mtu akwambie mara mia kwasababu haujasoma pale, ili uelewe nenda kasome pale utakubaliana na ninachosema.
Shalom makamanda!
Mbali ya kuwa na changamoto za ukosefu wa ajira na kushuhudia wimbi la vijana wakizunguka na bahasha mitaani,
Lakini hali ni tofauti hasa kwa vijana waliomaliza vyuo vya Mzumbe ( Military university) na Ardhi University wakifa njaa mtaani, hii inatokana na utija wa kozi zinazotolewa kwenye vyuo hivyo pamoja na kuwaandaa vijana vizuri katika soko la ushindani wa ajira.
Kiufupi mwanafunzi yeyote anayepata Neema ya kusoma vyuo hivyo katika kozi yeyote ana haki ya kujiita mwenye bahati sana.
Ujinga tu huo,kwani anakwenda kutangaza dini au?so kama anakwenda kusoma anaogopa nn?mbona kuna wabara kibao wanasoma znz na hawalalamiki kubaguliwa?usiwe na fikra potofu
Ujinga uko wapi flyn rider hapo?
Hivi umeelewa nilichouliza?
Wapi nimesema anaogopa?
Kuuliza ndo fikra potofu?
Mkuu,ulipaswa kujibu nilichouliza tu kama unaufahamu nacho wala siyo hizi ngonjera zako.
Una fikra potofu ndio maana umeuliza hvy,umeckia nani kabaguliwa,kwanza huo ubaguzi umeanza lini?labda uuanze wewe hapa saiv
Mkuu,hivi unafahamu mtu kutoka bara akiwa mitaa ya Zanzibar huitwa CHOGO?
Hivi unafahamu mtu wa bara hawezi kumiliki ardhi(kisheria) Zanzibar?
Hivi unajua driving license ya mtu wa bara haitambuliki Zanzibar?
Haya ni machache tu ya mtaani ndo maana nataka nifahamishwe na hali ya kwenye taasisi za elimu ukizingatia Kuna malalamiko mengi juu ya hujuma inayofanywa na NECTA kwa wazanzibar huku wakiamini wabara hupendelewa katika ufaulu.

Kama inakuuma sana vunjeni muungano mbona sisi tunapiga kelele hatuutaki nyinyi mnautaka wa nn?