Sijawahi kuona Waziri Mkuu anapwaya kama huyu wa sasa

Sijawahi kuona Waziri Mkuu anapwaya kama huyu wa sasa

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,403
Reaction score
11,912
Anazunguka tu wala hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi.

Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongelesha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.

Siku 40 na ushehe zimeisha bila kujua Waziri Mkuu ana maono gani.
 
Hehehe anapiga hapa na pale siku zinasonga
Anazunguka tu Wala Hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi. Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongeresha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.

Siku 40 na ushehe zimesha bila kujua Waziri mkuu anamaono gani.
 
Serikali nzima ni mzobe mxobe tu, kuanzia bibi na uongozi wake wa kifamlia na wengine wote, ni nani mwenye afadhali?

Hata kama kuna mwenye akili, utaitumiaje maana Hangaya hataki watu wenye maono makubwa..
Hivyo inawezekana PM anatembea na 'gepu'.
 
Back
Top Bottom