Sijawahi kuona Waziri Mkuu anapwaya kama huyu wa sasa

Sijawahi kuona Waziri Mkuu anapwaya kama huyu wa sasa

Mkuu Rekebisha Kauli yako Dr Mwigulu ni Msomi nguli na mahiri kati ya wasomi wenye akili hapa Nchini. Historia yake iko wazi haina kona kona.
Usomi sio vyeti, vyeti anavyo lakini vinamsaidia nini? Nafasi ya Waziri wa fedha haikumtosha ataweza uwaziri mkuu? Cleopa David Msuya hakuwa na vyeti vingi kama Madelu lakini ni mmoja kati ya mawaziri wa fedha na waziri mkuu bora kutokea Tanzania.
 
Katika viongozi waliopo mtu ambaye angefaa na kutosha kuwa Waziri Mkuu ni RC wa Njombe Anthony Mtaka siyo hii takataka ya Kinyiramba.
 

Attachments

  • VID-20251209-WA0002.mp4
    31.9 MB
Katika viongozi waliopo mtu ambaye angefaa na kutosha kuwa Waziri Mkuu ni RC wa Njombe Anthony Mtaka siyo hii takataka ya Kinyiramba.
Ila huyu kwa misimamo yake sijui kama kundi la Abdul watamuacha salama, watu wanyoofu hawatakiwi na serikali hii haramu iliyoingia madarakani kwa wizi wa kura na kumwaga damu za maelfu ya Watanganyika.
 
Anazunguka tu wala hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi.

Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongelesha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.

Siku 40 na ushehe zimeisha bila kujua Waziri Mkuu ana maono gani.
Kwa ujumla wao wote hawajui wanatupeleka wapi?
 
Anazunguka tu wala hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi.

Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongelesha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.

Siku 40 na ushehe zimeisha bila kujua Waziri Mkuu ana maono gani.
Waziri mkuu , kwa mamlaka ipi kutoka kwa wananchi , tueshimiane, hii nipo tiyari kufia kabisa , serikali iliopo ni haramu , ukweli usemwe bila kujali chochote
 
Back
Top Bottom