Hili ni sahihi. Anafaa kuwa mweneziMuonekano wake tyuuh unamkataa kuwa PM.
achilia hayo anayoyafanyaa, lol
HaswaaaaHili ni sahihi. Anafaa kuwa mwenezi
Anazunguka tu Wala Hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi. Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongeresha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.
Siku 40 na ushehe zimesha bila kujua Waziri mkuu anamaono gani.
Mkuu Rekebisha Kauli yako Dr Mwigulu ni Msomi nguli na mahiri kati ya wasomi wenye akili hapa Nchini. Historia yake iko wazi haina kona kona.Anazunguka kama amekula kuku wa Liverpool, ila Bongo ukiwa kilaza lazima ujitutumue uonekane nawe upo
Katika jamii zilizostaharabika, huyo jamaa yako angekuwa nyuma ya nondo.Mkuu Rekebisha Kauli yako Dr Mwigulu ni Msomi nguli na mahiri kati ya wasomi wenye akili hapa Nchini. Historia yake iko wazi haina kona kona.
Sitak kurekebisha.Mkuu Rekebisha Kauli yako Dr Mwigulu ni Msomi nguli na mahiri kati ya wasomi wenye akili hapa Nchini. Historia yake iko wazi haina kona kona.
Hata hvy nipo nyuma ya nondo za geti langu.Katika jamii zilizostaharabika, huyo jamaa yako angekuwa nyuma ya nondo.
Serikali nzima ni mzobe mxobe tu, kuanzia bibi na uongozi wake wa kifamlia na wengine wote, ni nani mwenye afadhali?Anazunguka tu Wala Hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi. Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongeresha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.
Siku 40 na ushehe zimesha bila kujua Waziri mkuu anamaono gani.
Au waziri wa mambo ya ndaniHili ni sahihi. Anafaa kuwa mwenezi
msomi asiyejua kutofautisha au kujua kati ya binadamu na mali kipi kinathamani kunapotokea majanga.....usomi uchwaraMkuu Rekebisha Kauli yako Dr Mwigulu ni Msomi nguli na mahiri kati ya wasomi wenye akili hapa Nchini. Historia yake iko wazi haina kona kona.
Hayo anafanya akijua kwa kukusudia, malipo yake Mungu ndiye anajuamsomi asiyejua kutofautisha au kujua kati ya binadamu na mali kipi kinathamani kunapotokea majanga.....usomi uchwara