Kaka Yaoh
Senior Member
- Sep 23, 2021
- 190
- 361
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.
Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata kwenye chuo gani!
Yanga inaenda KUPOROMOKA halafu kinachoniuma zaidi Fei Toto, yaani uongozi nao ni ovyo kabisa ule umejaa ubabaishaji. Yaani upo tayari kumpeleka Haji Manara Dubai kule na wake zake, hiyo hela ya nauli na hoteli si tungempa Fei Toto tu.
ANGALIZO: Mimi nina hasira sana.