Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.

Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata kwenye chuo gani!

Yanga inaenda KUPOROMOKA halafu kinachoniuma zaidi Fei Toto, yaani uongozi nao ni ovyo kabisa ule umejaa ubabaishaji. Yaani upo tayari kumpeleka Haji Manara Dubai kule na wake zake, hiyo hela ya nauli na hoteli si tungempa Fei Toto tu.

ANGALIZO: Mimi nina hasira sana.
Kwani wewe mpira umeanza kuangalia na kuuelewa lini? Tuanzie hapo kwanza ilitujue tunaendaje nawewe maan nakuona jinsi unavyoichukulia hiyo klabu na uhalisia tofauti kabisa...
 
Nyie mtaongea sana hila ukweli upo na ni swala la muda tu maji yatajitenga na mafuta hii timu kama tutaendelea endelea kucheza hv hakuna popote tutakapo fika na naiona Yanga ambayo haina muda mrefu kupotea kabisa km enzi zile za Toto African na wale hakina African lyon uongozi mbovu ambao umejaa porojo nyingi wachezaji wenye kiwango kibovu kuendelea kupata namba na kubaki kwenye timu pamoja na kocha mwenye uwezo wa chini kabisa kimbinu yani hatuna uwezo hata wa kufunga goli zaidi ya mbili kwenye mechi kweli jamani
 
Ungejadili hili kwanza kabla hujarukia yasiyokuhusu
JamiiForums-1955654881_243x540.jpg
 
Kujifanya Mwanayanga na wakati wewe ni Simba ni upumbavu uliokomaaa ipo SIKU UTAJIFANYA MWANAMKE ILI UPATE HELA!
 
Kadi yako ya uanachama ni namba ngapi?
 
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.

Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata kwenye chuo gani!

Yanga inaenda KUPOROMOKA halafu kinachoniuma zaidi Fei Toto, yaani uongozi nao ni ovyo kabisa ule umejaa ubabaishaji. Yaani upo tayari kumpeleka Haji Manara Dubai kule na wake zake, hiyo hela ya nauli na hoteli si tungempa Fei Toto tu.

ANGALIZO: Mimi nina hasira sana.
Nadhani kuumia Aucho na kukosekana kwa Fei ni pengo kubwa.
 
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.

Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata kwenye chuo gani!

Yanga inaenda KUPOROMOKA halafu kinachoniuma zaidi Fei Toto, yaani uongozi nao ni ovyo kabisa ule umejaa ubabaishaji. Yaani upo tayari kumpeleka Haji Manara Dubai kule na wake zake, hiyo hela ya nauli na hoteli si tungempa Fei Toto tu.

ANGALIZO: Mimi nina hasira sana.
Hatimaye Yanga kuwa bingwa wa ligi kuu, kwa mara ya pili mfululizo.
 
Ungejadili hili kwanza kabla hujarukia yasiyokuhusuView attachment 2493716
SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI.

Timu imekuwa haieleweki kuanzia viongozi hadi wachezaji mpaka kwenye makocha napo ndo pameoza kabisa huwezi kuwa na makocha zaidi ya watano kwenye kipindi cha miezi sita leo anakuja huyu kesho mwingine mara anabaki huyu yule anakaa wiki anaondoka.

Timu imejaa wachezaji wenye kiwango cha chini kabisa sidhani kwa kikosi hiki cha Simba ukichukuwa mchezaji mmoja mmoja sidhani kama wanazidi hata watatu ambao watapata namba ya kudumu pale SINGIDA BIG STARS (wewe kama uamini wewe bisha tu).

Uongozi unajiendesha kiswahili sana hii timu ni kubwa na miaka kama mitano nyuma kwa aliyeiona Simba ya wakati hule alijua kabisa kwa miaka ya mbeleni hii timu ingekuwa mbali sana lakini viongozi uchwara viongozi wasiojua soka ni nini viongozi waliojaa njaa tu.

Hadi mnafikia hatua ya kuuza mpaka gari yani na bado mmekuwa mnakaa tu hapo juu usajili mnaleta wachezaji wenye kiwango kibovu sana mnawaleta pamoja na wazee wapaka super black ndo mnawajaza kwenye timu

Hii timu nayo inaenda kupotea kabisa kwenye ramani ya soka la Tanzania pamoja na la dunia.

ANGALIZO; MIMI NINA HASIRA SANA, JIANGALIE WEWE.
 
Mechi ya jana ilikuwa moja ya mechi ngumu kwa Yanga, na nimoja ya mechi bora ambayo Ruvushooting kacheza, walimuheshimu Yanga

Kama ruvu shooting angetaka kucheza mpira basi angepigwa zaid ya goli mbili,,

Nje ya mada: Farid musa kuna vitu inabidi uongeze braza, dribbling yako sio accurecy hata kidogo kwan una dribble mpira kwa spidi usiyo iweza.

Hivyo unampa adui yako mwanya wa kukupiga fyekeo (tackling na unajua madhara ya hii kitu kupona kweke ni mara chache sana) ,
ndio inayo kuletea majeruhi ya mara kwa mara
 
Back
Top Bottom