Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

Mechi ya jana ilikuwa moja ya mechi ngumu kwa Yanga, na nimoja ya mechi bora ambayo Ruvushooting kacheza, walimuheshimu Yanga

Kama ruvu shooting angetaka kucheza mpira basi angepigwa zaid ya goli mbili,,

Nje ya mada: Farid musa kuna vitu inabidi uongeze braza, dribbling yako sio accurecy hata kidogo kwan una dribble mpira kwa spidi usiyo iweza.

Hivyo unampa adui yako mwanya wa kukupiga fyekeo (tackling na unajua madhara ya hii kitu kupona kweke ni mara chache sana) ,
ndio inayo kuletea majeruhi ya mara kwa mara
Kocha hana mbinu za kupambana na hata timu yenye uwezo mdogo kama hile
 
Back
Top Bottom