Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

Kaka Yaoh

Senior Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
190
Reaction score
361
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.

Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata kwenye chuo gani!

Yanga inaenda KUPOROMOKA halafu kinachoniuma zaidi Fei Toto, yaani uongozi nao ni ovyo kabisa ule umejaa ubabaishaji. Yaani upo tayari kumpeleka Haji Manara Dubai kule na wake zake, hiyo hela ya nauli na hoteli si tungempa Fei Toto tu.

ANGALIZO: Mimi nina hasira sana.
 
Timu mbovu badala tupaze sauti kabla hatuja potea kwny soka nyie mnatetea utumbo tu wa GSM
 
Jifariji tu. Kuna timu imeshinda goli moja huku mpinzani wake akipelekewa mputa mputa mpaka wanaomba mpira uishe na umiliki wa mpira asilimia 70+
Halafu kuna timu nyingine tokea Gurdiola ashushwe cheo wamekuwa watu wakupelekewa moto tu wapinzani huku wao wakiomba mpira uishe waambulie walichokipata. Mpira ni mchezo wa wazi
 
Sisi hii ni too much ukikaa unaona kabisa hii timu hakuna kitu mbinu zimeisha kbs yani hapa hakuna timu tena tofauti na kipindi kile cha Fei Toto
 
Kuna wachezaji pale km wakina ambundo, farid, mwanyeto sijui Kuna yule ndomo aziz ki yani bila faulo uwanjani aonekani ni utumbo mtupu
 
Sisi hii ni too much ukikaa unaona kabisa hii timu hakuna kitu mbinu zimeisha kbs yani hapa hakuna timu tena tofauti na kipindi kile cha Fei Toto
Sawa hakuna timu, tuambie timu iko wapi?
 
MAMA YAOH... upo kwenye ubora wako..
Kamkumbe kama wewe hauwezi kua mwananchi hata siku moja.
We ni KOLOmwani
 
Sisi hii ni too much ukikaa unaona kabisa hii timu hakuna kitu mbinu zimeisha kbs yani hapa hakuna timu tena tofauti na kipindi kile cha Fei Toto
Jamaa walivyokushambulia hata hakuna wa kukuunga mkono. Mlianza tokea zibaki mechi 20 sasa tambua mechi 9 imebaki.
 
Timu mbovu tuliiona jana ikipelekewa moto na Dodoma jiji mpaka wanaomba mpira uishe.
Yanga ni kawaida yao kupata kagoli kamoja kisha wanauchezea mpira, maana Wanakuwa na uhakika kwamba washamkamata mpinzani kila idara na hana tena madhara kwao.
Mashabiki wao wanaangalia mpira huku wanakunywa kahawa bila hofu yoyote
Upande wa pili sasa, muda wote mashabiki wanakuwa wamezibana[emoji23]
 
Yani, yani.. nyiingi mashudu tupu
 
Waambie ndugu zako madunduka kuna Azam Bado anawapakia mkongo juz kapigwa hawez kubali kushika nafas ya 4 katu
 
Ngada fc at work,,tuambie timu nzuri iko wapi, kumbuka zimebaki mechi 7 tu watu watangaze ubingwa usije ukafa kabla ya siku zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…