herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
Miili ya vijana wengi Tanzania ni milegevu unaona mwanaume akiongozana na mwanamke wote wanafanana tu, mwanaume nguo alizovaa suruali yakubana wenyewe huita model mie naita ile ni skin tight tu, na mwanamke naya kavaa skin tight ikitokea shida mwanaume hata kujiokoa hawezi ile skin tight alovaa itamzuia hata kukimbia nk.
Sijajua mleta mada ni nguo zipi unavaa kama zile zakubana aka skin tight kweli zile hazipendezi, ushauri wangu fanya mazoezi simple exercise kuondoa fatique, kula natural food kama viazi yale makaba koo,magimbi, matunda na mbogamboga nk, kunywa maji mengi.
Mazoezi yatakuimarisha sana utakuwa vizuri halafu ukitekeleza nilokuambia tupiamo tena pamba zako utakuja kunishukuru hapa.