Sijawahi kupendeza nikivaa nguo

Sijawahi kupendeza nikivaa nguo

Miili ya vijana wengi Tanzania ni milegevu unaona mwanaume akiongozana na mwanamke wote wanafanana tu, mwanaume nguo alizovaa suruali yakubana wenyewe huita model mie naita ile ni skin tight tu, na mwanamke naya kavaa skin tight ikitokea shida mwanaume hata kujiokoa hawezi ile skin tight alovaa itamzuia hata kukimbia nk.

Sijajua mleta mada ni nguo zipi unavaa kama zile zakubana aka skin tight kweli zile hazipendezi, ushauri wangu fanya mazoezi simple exercise kuondoa fatique, kula natural food kama viazi yale makaba koo,magimbi, matunda na mbogamboga nk, kunywa maji mengi.

Mazoezi yatakuimarisha sana utakuwa vizuri halafu ukitekeleza nilokuambia tupiamo tena pamba zako utakuja kunishukuru hapa.
 
Jaribu ovaroli na safety boot na helmet af zama club juu usisahau reflector uone kama madem kibao wanavokufuata na kukuomba ukae nao mana reflector itakufanya ung'ae kinoma.
Mshauri jamaa Anawakati mgumu
 
Mleta mada "you sound to have a very low self esteem". Tafuta vitu unavyoviona ni positive katika maisha yako, kwenye psychology kuna kitu kinaitwa locust of control. Hii inaweza iwe ndani yako au nje yako, ikiwa ndani yako unaamini kuwa una uwezo wa kubadisha mazingira yanayokuzunguka ikiwa nje unaamini unahitaji msaada ili kubadilisha mazingira hayo.
 
Nipe namba yako, tukutane, nkushauri nguo za aina gani zitakufaa
 
Tengeneza kwanza mwil wako, fanya mazoezi na kula vzuri! Ulizia au nenda na marafiki wakushaur au kukuchagulia nguo gan itakukaa vzur
 
Miili ya vijana wengi Tanzania ni milegevu unaona mwanaume akiongozana na mwanamke wote wanafanana tu, mwanaume nguo alizovaa suruali yakubana wenyewe huita model mie naita ile ni skin tight tu, na mwanamke naya kavaa skin tight ikitokea shida mwanaume hata kujiokoa hawezi ile skin tight alovaa itamzuia hata kukimbia nk.
Sijajua mleta mada ni nguo zipi unavaa kama zile zakubana aka skin tight kweli zile hazipendezi, ushauri wangu fanya mazoezi simple exercise kuondoa fatique, kula natural food kama viazi yale makaba koo,magimbi, matunda na mbogamboga nk, kunywa maji mengi.

Mazoezi yatakuimarisha sana utakuwa vizuri halafu ukitekeleza nilokuambia tupiamo tena pamba zako utakuja kunishukuru hapa.

Ahsante kwa ushauri' nitajaribu!!
 
Mwili wako upoje? Google ideas online, instagram, pinterest..
Mi nguo huwa nagoogle kabisa mfano nna kipencil skirt changu labda cha red,nagoogle how to wear a red pencil skirt,I get ideas namna ya kumix nk...hutazichoka nguo zako
 
Wewe unafanya mazoezi? Kama hufahamu mazoezi ya kujenga mwili yatakufanya uonekane physically strong hata ukivaa nguo itakukaa vizuri tu.

Fanya cardio training, kuimarisha tumbo, mapaja, mikono nk.

Pia kama alivyoshauri mdau hapo juu nenda shopping na rafiki yako inawezekana hujui kuchagua nguo inayokukaa poa.

Hope this help
Yes hiii ndo suluhu
 
Jaribu ovaroli na safety boot na helmet af zama club juu usisahau reflector uone kama madem kibao wanavokufuata na kukuomba ukae nao mana reflector itakufanya ung'ae kinoma.
HA! HA! HA!
Mkuu umeua
 
Back
Top Bottom