mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Utakuwa na tatizo la afya ya akili.....muone daktariHabari zenu wapendwa,
Naombeni ushauri jamani,
Kwanini kila nguo ninayoivaa haipendezi? Yaani nimeshatupa pesa nyingi sana kununua nguo kali za kijanja lakini wapi! Sipendezi masela.
Nipeni ushauri nifanyeje.