Sijawahi kupendeza nikivaa nguo

Sijawahi kupendeza nikivaa nguo

Habari zenu wapendwa,

Naombeni ushauri jamani,

Kwanini kila nguo ninayoivaa haipendezi? Yaani nimeshatupa pesa nyingi sana kununua nguo kali za kijanja lakini wapi! Sipendezi masela.

Nipeni ushauri nifanyeje.
Utakuwa na tatizo la afya ya akili.....muone daktari
 
Wewe ni KE au ME! Kama ni ME nakushauri ujipange kisha uoe mkeo atakuwa anakusifia kuwa umependeza na atakushauri Nguo zinazo kupendendeza na Za heshima Kama mkeo atakuwa na ufahamu huo! Epuka kuvaa over Au under size, vaa Nguo zinazo kufit mwili wako!
 
Ila bila kumumunya maneno Ushamba nao wakati mwingine yaweza kuwa sababu ya kukufanya usijue Nguo ya kukupendeza Hata Kama ume nunua bei ghali
 
Au Wewe utakuwa una akiki nyingi Kama baadhi ya maproffessors walivyo Au una ukwasi mkubwa! Wanaume wengi wapiga pamba kali huwa ni mission towns [emoji14][emoji14][emoji14] anajiweka vizuri ili Hata akitaka kumtapeli/kumlaghai Mtu asistukiwe upesi! Ila Kama umejistukia huo utakuwa mwanzo wa kupendeza!
 
Watu wenye akili nyingi Au ukwasi mkubwa huwa hawako after kupendeza [emoji108][emoji108] Hata Kwenye mambo ya kimapenzi hawako kiivyoooo!
 
Unataka ufunike mwili kwa dhahabu ili upendeze? Ukishajisitiri si umependeza? Basi tembea kama akina Adam na Eva kabla ya kula tunda
 
Habari zenu wapendwa,

Naombeni ushauri jamani,

Kwanini kila nguo ninayoivaa haipendezi? Yaani nimeshatupa pesa nyingi sana kununua nguo kali za kijanja lakini wapi! Sipendezi masela.

Nipeni ushauri nifanyeje.
Tembea uchi basi
 
Si kila mtu anadamu na nguo ......
ridhika tu
 
Habari zenu wapendwa,

Naombeni ushauri jamani,

Kwanini kila nguo ninayoivaa haipendezi? Yaani nimeshatupa pesa nyingi sana kununua nguo kali za kijanja lakini wapi! Sipendezi masela.

Nipeni ushauri nifanyeje.
Fanya mazoezi kwanza utengeneze mwili.
 
Habari zenu wapendwa,

Naombeni ushauri jamani,

Kwanini kila nguo ninayoivaa haipendezi? Yaani nimeshatupa pesa nyingi sana kununua nguo kali za kijanja lakini wapi! Sipendezi masela.

Nipeni ushauri nifanyeje.
Subiri masela wenzio waje kukushauri
 
Du, ni ngumu kukushauri sababu hatujui umbo lako mzee, lkn any way we sio fashionist ko kuvaa kwako hakuna princilple cha msing jikubali tu utakavovaa basi, ila jitahid pia kufwatilia mambo za trending fashion
 
Habari zenu wapendwa,

Naombeni ushauri jamani,

Kwanini kila nguo ninayoivaa haipendezi? Yaani nimeshatupa pesa nyingi sana kununua nguo kali za kijanja lakini wapi! Sipendezi masela.

Nipeni ushauri nifanyeje.

Mmh kwanini sasa jamani, mwenzio hata nikivaa gunia napendeza
 
Back
Top Bottom