Sijawahi kupendwa

Yani wewe kazi yako ni kucheka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sijui nikoje mie, hata nikichukizwa nanuna mara ghafla nacheka, siwezagi kuwa seriouz yaan.
 
Uhindi nehi nehi wao!!![emoji2][emoji2]wao kutoa tuu mahelaa!!!baasi ila eti sweetheart ,darling,I have never seen them!na hawanaga hyo asili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rey😂😂😂
Hivi kwa umri wa mdada mwenye afya yake miaka 29 unakuwa na wanaume wawili tu? Hayo ni matumizi mabaya ya viungo. Walau ajaze Noah..noah tu!!
Hahaa,
Bro nakuheshimu sana lakini..!!
 
Hizi bahati sijui kwanini haziji kwangu!
 
Pole, ushazeeka hayo yashakupita bibie, waachie tu wadogo zako.
 
MAPENZI PESA ka inavyotambulika skuizi vipi nyie wanawake wa"true love"si inasemekana mshakufa kwenye vita vya kwanza vya dunia? sasa kulikoni tena umeonekana century hii?? 🤔au ndio dodo chini ya mnazi😜
 
Kesi yako Kama yangu

Mapenzi ni Zaidi ya vile watu hufikiiria lakini being romantic sio kipaji unaweza kujifunza

Mapenzi bhana unampenda mtoto wa watu unajitahidi kumuonyesha love zile za kihindi lakini

Anyway pray for Tanzania kikubwa amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kikubwa amani[emoji1535]
 
Si ndoa sasa hiyo, uchumba gani wa miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…