Kingine amekosea una date na mtu miaka 10, hamna dalili ya mapenzi unasubiri nini? akufukuzajye hakwambii toka.Inawezekana na ukawa unachaagua Sana watu yaani wanao kupenda kwel una wa kataa unaenda kwa unao wa penda ambao nao hawaja kupenda kwa ukweli.
Mara nyingi Sana wanawake wanakuwa kwenye mazingira magumu Sana hasa kuchagua, wanawake wa napenda Sana watu wenye muonekano mzuri bila kujua kama upendo wake upoje kwako.
Kwa kusema hayo unacho takiwa kuangalia Nani a nakupenda sio wew unapenda nini hapo Uta experience love
WordππUnajua good girls wengi huishia kwa watu wabaya kwasababu wanaamini wao ndio wameletwa duniani kubadilisha vichwa ngumu, dada yangu umekaa kwenye mahusiano na mtu ambaye hana time na wewe sepa unangoja nini?
Jichanganye, acha dharau , jifunze kujua mda wa kuondoka usipende kung'ang'ania.
Pia toa sadaka, funga, amka usiku sali Mungu atakuongoza ila usirudie upuuzi wa kukaa kwenye mahusiano yasiyo na future.
[emoji23][emoji23][emoji23]weweIla wanawake tunapitia mengi. Usipopendwa lazima ukonde tu hata kama unakula.
Kuna nyakati nilipenda nisipopendwa hadi nikajiona faraaa.
Miaka imeendaa sasa nimekutana na mtoto mmoja wa mama mkwe ahaaaa ana maneno matamu sijawahi ona.
Hizi ndo sms zake za asubuhi.
Good morning my beautiful queen.....
Good morning my love........
You are my everything [emoji23] etc etc
Mida mida .......atanicheck tena wakati akielekea kazini na kavideo call[emoji23] mwisho naambiwa i really love you[emoji7]
Mchana..... baby its lunch time, you need to eat[emoji1787]......usisahau kuwa nakupenda.
Jioni........mke wangu ushatoka kazini? Uko wapi?[emoji28][emoji28][emoji28]hapo ni kuchat chat ujinga ujinga, kuomba ka picha basi kakitumwa kuna tusifa utaambia hata kama ni twa kinafiki lakini naambiwa.......... mke wangu unapemdeza, una rangi nzuri, hujichubui, una guu la bia, you are cute, you are everything i need[emoji1787][emoji1787]
.......i will give you everything [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmmh! hapa nachekaga sana kwamba atanipa kila kitu, naishia kujisemea nimepigwa na kitu kizito kichwani.....ila ndo hivyo tena nisikose vyote utu tumaneno tunapunguza ges tumboni.
Usiku naagwa kwa maneno matraamu siku inaisha. Haijarishi ni maneno fake ila naambiwa siku inaisha.
Hapa nimeongelea upande mmoja wa shiling . Msije sema haya maneno ninayala? Nafasi ikipatikanaga huko mbele ntaongeleaga na upande mwingine wa shiling.
Mungu uwalinde wanaume / watoto wa mama wakwe wote wapate hela ya kutuhudumia kwa mawazo , kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutimiza wajibu amina.
WachaaaaaHuu mwandiko huu, kama unakuja halafu unapotea...anyway
Bi mkubwa, wakati sahihi ukifika utapata wa kukupenda nawe utaishi ukishihudia maneno makuu ya mapenzi, itoshe kusema hujaweza kukutana na mtu sahihi...
Huu uzi ungeandika enzi nikiwa kijana bado, ningekutafuta bi mkubwa nikuoneshe walipoandika neno 'kupendwa' kwenye kamusi walikuwa na maana gani haswa...
Kumbeee πππPole ,hapo kwa 10 yrs toka tu kwakweli kama hapaeleweki .Kuwa mbinafsi kidogo usijekuzeeka zaidi kama mimi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimesoma mpaka nikapata msisimuko, vinyweleo vimesisimaHello dears just want to share something with you about my love life.
I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume
Kuna uhusiano wowote kati ya kuwa kwenye mahusiano na kutumika?You are not serious! Ten years in relationship and you are now 29 yrs! Umetumika sana katika umri mdogo you hve no one to blame than yourself! Hadi nakuhurumia!
Yes nina mtoto nae mmoja 3 years old boy10 yrs!mmo humu humu tu[emoji2296]
Unajapo mtoto darling [emoji3064][emoji3064]
Kuna liroho linakuandama.
Nitafanyia kazi hiyo last paragraph Asante!Unajua good girls wengi huishia kwa watu wabaya kwasababu wanaamini wao ndio wameletwa duniani kubadilisha vichwa ngumu, dada yangu umekaa kwenye mahusiano na mtu ambaye hana time na wewe sepa unangoja nini?
Jichanganye, acha dharau , jifunze kujua mda wa kuondoka usipende kung'ang'ania.
Pia toa sadaka, funga, amka usiku sali Mungu atakuongoza ila usirudie upuuzi wa kukaa kwenye mahusiano yasiyo na future.