Sijawahi kupendwa

nakuelewa dada yangu ila nikuambie kitu dunia ya leo hii usiangalie kutaka kupendwa utakua mtu mwenye huzuni kila siku na acha kufanya mapenzi kuwa moja kama ya kitu cha muhimi sana kaika maisha yako utakua mpweke wa kutupwa mapenzi kama kuja yatakuja tuu as for now play the field ...mwisho wa siku utakua unajirahisiha kwa kila mwanaume anayeonyehsa kiupendo kidogo kwa vile umesha iweka akili yako kulemaa kwa kutafuta mapenzi utakua unatumiwa na kuachwa jipende mwenyewe kwanza tafuta kuwa na furaha yako mwenyewe badilisha mwenendo wakulemeza akili yako kwa kufuata mapenzi utaishia kwenye circle ya kuchezewa na kuwa mpweke na mwisho kujichukia mwenyewe kuonea watu wivu...na wasikudnaganye hao unaosema wanabembelezwa trust me its not that sweet as it looks
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Shida ni wewe kiinglish kingi mpka kitandani,hapo ndio unafeli dada
 
You said it all bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…