Sijawahi kupendwa

Kama hajaelewa hapa basi tena
 
Vp ww unawashow hiyo love?? Ama wewe ndo unataka upendwe na kudekezwa tu.

Wanawake wengi no wabinafsi sana sana, wao wanataka mwanaume awafanyie kila kitu, awadekeze, kuwacheki mara kwa mara na ishu ka izo ilhali wao hawawatafuti mpaka watafutwe, na wasipotafutwa ni lawama na visirani tupu.
Kama na wewe upo hivi usitegemee mtu akuletee huo uromantic unouhitaji.
 
Ila miaka 10 akiwa tu field anajitolea ni mingi sana jamani...na jamaa wala halimjali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia huyu...
Hahaaa!huyo anataka mapenzi ya kwenye video ,kuna watu hawajaumbwa hvyo na mnavoanza ndivyo mtakavoishi!yeye inabidi akubali tu matokeo 10yrs yuko field[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mmecheka
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wasukuma wengi wanaume hawako romantic shoo!nshawahi experience hyo hali,yaani yeye kutoa hanaga shida pesa mbele ,anatoa tuu!ila usitegeme kubembelezwa sijui baby..baby...darling..[emoji2][emoji2][emoji2]hazipo hizoo!ukifanya masihara mtakaa hata Siku3 hakutafuti ila ukiwa na shida anakuhudumia vzr sana!!nilivomjua hakunipaga shida kamwee!nilienda na biti lake hilo hilo na tukaishi fresh tu!
Yaani yuko busy to core!!sio kua hampendi mwanamke wake ila hawako romantic! Kuna mdada kaolewa ananiambia sijawahi kuambiwa guudnight na baba Gudi toka Tuoane almost 10yrs!!!neno I love you halipooo!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiih.
 
Unataka maneno haya sio!?

Sweety I miss you my love, mama calvin nakutakia usiku mwema, wow!πŸ˜€my lovely wife
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Baba Gudi ana nini lakini?ila Ukibahatika upate ule mwamba umesomea bush country huko ila kafanikiwa kutoka kimaisha,lafudhi ileile bado anayo uta enjoy Sana show... ni wakarimu mnooo hawana porojo wale ni mwendo wa kutunzwa tuuu
 
cc: Kasie Mpe neno la kumfariji huyu ndugu mama yetu

Ahahahahhaaa ngoja kwanza nimuitie kapo inayopendana humu kama mate na ulimi....πŸ˜…

Nao si wengine ni babu Asprin na bi Sky Eclat ....

Aige mfano wao atajikuta tuu anapendwa hadi anazimia...😊.

Kwangu mie ....... Mahaba ni Chakula, azingatie kujipenda, ale chakula kizuri chenye ladha na kumvutia machoni azingatie ambacho hakiharibu mwili.



Just few to mention πŸ˜‹.
 
Mimi nimekamata hapo pa kudate wanaume wawili tu, mbona wachache hivyo? At 29 inakuwaje na wawili tu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeua kiongozi!!
 
Usione mapaa Kasie yanaficha mengi, kuna siku ninapata leave Mzee akiwa kwa mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…