Sijawahi kupendwa

Sijawahi kupendwa

Inawezekana na ukawa unachaagua Sana watu yaani wanao kupenda kwel una wa kataa unaenda kwa unao wa penda ambao nao hawaja kupenda kwa ukweli.

Mara nyingi Sana wanawake wanakuwa kwenye mazingira magumu Sana hasa kuchagua, wanawake wa napenda Sana watu wenye muonekano mzuri bila kujua kama upendo wake upoje kwako.

Kwa kusema hayo unacho takiwa kuangalia Nani a nakupenda sio wew unapenda nini hapo Uta experience love
Kama hajaelewa hapa basi tena
 
Vp ww unawashow hiyo love?? Ama wewe ndo unataka upendwe na kudekezwa tu.

Wanawake wengi no wabinafsi sana sana, wao wanataka mwanaume awafanyie kila kitu, awadekeze, kuwacheki mara kwa mara na ishu ka izo ilhali wao hawawatafuti mpaka watafutwe, na wasipotafutwa ni lawama na visirani tupu.
Kama na wewe upo hivi usitegemee mtu akuletee huo uromantic unouhitaji.
 
Ila miaka 10 akiwa tu field anajitolea ni mingi sana jamani...na jamaa wala halimjali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia huyu...
Hahaaa!huyo anataka mapenzi ya kwenye video ,kuna watu hawajaumbwa hvyo na mnavoanza ndivyo mtakavoishi!yeye inabidi akubali tu matokeo 10yrs yuko field[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mmecheka
 
Umeongea vyema,nishawahi kuwa na mtu wa hivyo Hana muda wa porojo,eti umekunywa chai?Umeenda lunch?Yaani matendo yake yanatosha kukueleza jamaa anakupenda na?kukujali.

Yaani yule msukuma unastukia tu muamala umesoma mida ya lunch,napiga simu kusema Asante msukuma anakupa jibu moja tu,

Nenda ukale mama!(in Magufuli voice)jamaniii endelea kubarikiwa msukuma wa Magu.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wasukuma wengi wanaume hawako romantic shoo!nshawahi experience hyo hali,yaani yeye kutoa hanaga shida pesa mbele ,anatoa tuu!ila usitegeme kubembelezwa sijui baby..baby...darling..[emoji2][emoji2][emoji2]hazipo hizoo!ukifanya masihara mtakaa hata Siku3 hakutafuti ila ukiwa na shida anakuhudumia vzr sana!!nilivomjua hakunipaga shida kamwee!nilienda na biti lake hilo hilo na tukaishi fresh tu!
Yaani yuko busy to core!!sio kua hampendi mwanamke wake ila hawako romantic! Kuna mdada kaolewa ananiambia sijawahi kuambiwa guudnight na baba Gudi toka Tuoane almost 10yrs!!!neno I love you halipooo!!!
 
Khaaaaa uko kwenye relationship 10yrs[emoji849][emoji849]
So toka uko 19..
Mmhhhh

Watu wa true love wapo sanaaa tu..sema we umeamua kugandana na hilo dubwasha lako lisilokua na mapenzi...true love zipo mamaaa achia moyo huo watu wakupendeeeeeeee....
Watu tunafaidi huku nje.....


Get out ....unatumikaaa tu..na haji kukuoa huyo.....hlf unasema hupati true love huku hutaki wapa watu nafasi...poleee[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiih.
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Unataka maneno haya sio!?

Sweety I miss you my love, mama calvin nakutakia usiku mwema, wow!😀my lovely wife
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wasukuma wengi wanaume hawako romantic shoo!nshawahi experience hyo hali,yaani yeye kutoa hanaga shida pesa mbele ,anatoa tuu!ila usitegeme kubembelezwa sijui baby..baby...darling..[emoji2][emoji2][emoji2]hazipo hizoo!ukifanya masihara mtakaa hata Siku3 hakutafuti ila ukiwa na shida anakuhudumia vzr sana!!nilivomjua hakunipaga shida kamwee!nilienda na biti lake hilo hilo na tukaishi fresh tu!
Yaani yuko busy to core!!sio kua hampendi mwanamke wake ila hawako romantic! Kuna mdada kaolewa ananiambia sijawahi kuambiwa guudnight na baba Gudi toka Tulane almost 10yrs!!!neno I love you halipooo!!!
😂😂😂😂😂😂Baba Gudi ana nini lakini?ila Ukibahatika upate ule mwamba umesomea bush country huko ila kafanikiwa kutoka kimaisha,lafudhi ileile bado anayo uta enjoy Sana show... ni wakarimu mnooo hawana porojo wale ni mwendo wa kutunzwa tuuu
 
cc: Kasie Mpe neno la kumfariji huyu ndugu mama yetu

Ahahahahhaaa ngoja kwanza nimuitie kapo inayopendana humu kama mate na ulimi....😅

Nao si wengine ni babu Asprin na bi Sky Eclat ....

Aige mfano wao atajikuta tuu anapendwa hadi anazimia...😊.

Kwangu mie ....... Mahaba ni Chakula, azingatie kujipenda, ale chakula kizuri chenye ladha na kumvutia machoni azingatie ambacho hakiharibu mwili.

633F0265-F9EC-4731-8D65-7B0A3AC1F896.jpeg
248376C8-7705-430B-ACDF-77D69E0D07A3.jpeg
73F1CEA7-D2C8-49AF-ABA3-C6982F37C064.jpeg
9D5CA16C-A5CC-4AE9-A33A-414EAA7FD997.jpeg
112BE62A-2039-4E1B-A58C-1E3CC88C3602.jpeg


Just few to mention 😋.
 
Mimi nimekamata hapo pa kudate wanaume wawili tu, mbona wachache hivyo? At 29 inakuwaje na wawili tu?
 
Huu mwandiko huu, kama unakuja halafu unapotea...anyway

Bi mkubwa, wakati sahihi ukifika utapata wa kukupenda nawe utaishi ukishihudia maneno makuu ya mapenzi, itoshe kusema hujaweza kukutana na mtu sahihi...

Huu uzi ungeandika enzi nikiwa kijana bado, ningekutafuta bi mkubwa nikuoneshe walipoandika neno 'kupendwa' kwenye kamusi walikuwa na maana gani haswa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeua kiongozi!!
 
Ahahahahhaaa ngoja kwanza nimuitie kapo inayopendana humu kama mate na ulimi....😅

Nao si wengine ni babu Asprin na bi Sky Eclat ....

Aige mfano wao atajikuta tuu anapendwa hadi anazimia...😊.

Kwangu mie ....... Mahaba ni Chakula, azingatie kujipenda, ale chakula kizuri chenye ladha na kumvutia machoni azingatie ambacho hakiharibu mwili.

View attachment 2134328View attachment 2134329View attachment 2134330View attachment 2134331

Just few to mention 😋.
Usione mapaa Kasie yanaficha mengi, kuna siku ninapata leave Mzee akiwa kwa mchepuko.
 
Back
Top Bottom