Sijawahi kupendwa

..Yaani yule msukuma unastukia tu muamala umesoma mida ya lunch,napiga simu kusema Asante msukuma anakupa jibu moja tu,

Nenda ukale mama!(in Magufuli voice)jamaniii endelea kubarikiwa msukuma wa Magu.
😂😂
Ungetulia naye sasa!
 
Punguza kujiona keki mdogo wangu....siku hizi wanaume wengi hawataki mwanamke mwenye mambo mengi😂😂😋
 
U want to make lv n not sex.. heb nipe tofaut hapo mkuu...
 
Sijaona K Vant na Kitimoto hapo.

Nimesusa....
 
kuna kipindi niliwaza kubadilika nikajitahidi week kama mbili baadae nikarudia asili yangu. Kumbe ndivyo tulivyo wasukuma.[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!kaka Mna upendo wa dhati mnoo plus mawivu lakini unromantic kabisa yaaani!!!
Mjaa asili haachi asili!
 
Wanaupendo wa dhati sana ila tatizo hapo kwenye uhindi hindi [emoji38][emoji38][emoji38]
Uhindi nehi nehi wao!!![emoji2][emoji2]wao kutoa tuu mahelaa!!!baasi ila eti sweetheart ,darling,I have never seen them!na hawanaga hyo asili!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Mhhhh!!!,Watu tunaumiza vichwa namna ya kuwasaidia wenzetu huko Ukraine, wewe unatafuta mtu wa kukupenda.Sawa nimekuelewa kila la heri.
 
Wasukuma Oyeee…

Nina wapendwa sana wasukuma lakini ikifikia hiyo hatua stimu inakata.
Sitaki maswali ila ninauzoefu [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu kipenzii nidokeze kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…