Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂nimeyatindinganya?Umechanganya mambo.
Kabisa dear Joanna!😂😂😂😂nimeyatindinganya?
Siti zao ni katikati ya wazee ishirini na nne na makerubi.Wasukuma wana nafasi za pekee mbinguni.
Kivipi sasa my wangu?Kabisa dear Joanna!
you decided to look at the material part of it, ninaona ilikuwa tofauti na kusudio la mwenye mada Dear Joannah.Kivipi sasa my wangu?
Ooh kumbe!ila kupendwa ni kuheshimiwa na kutunzwa... sio kuambiawa tu baby umekula kama yeye anavyotaka aambiwe..you decided to look at the material part of it, ninaona ilikuwa tofauti na kusudio la mwenye mada Dear Joannah.
Tamthilia au series zimekuharibu.Hello dears just want to share something with you about my love life.
I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.
Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.
Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.
Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)
My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.
I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
[emoji3590] my everythingHello dears just want to share something with you about my love life.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaah[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani!ili ampeti peti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti field, jaman watu mna maneno woiiiiiiihIla miaka 10 akiwa tu field anajitolea ni mingi sana jamani...na jamaa wala halimjali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia huyu...
😊😊😊😊😊😊Nimewai ambiwa nifanye yote lakini nisimkalie kimya..
Naona huwa anamis sana maneno matamu.
Akiona simu yangu lazima atoe tabasamu.
Nampenda sana chotara wangu.
Wengi wetu hatujui upendo. Hatujui kupendwa. Hatujui kupenda. Upendo sio kwa kila mtu
Tunafikiria mapenzi ni ngono
Mapenz ni zaidi ya urefu wa kina cha bahari kama sio umbali wa mbingu na ardhi.
🤣🤣🤣🤣amina mkuu, una ujumbe mwema na mzuri. Nimejifunza vitu kadhaa.