Sijawahi kutongoza JF! Huwa inakuwaje?

Hata mimi sijawahi hofu yangu kubwa najikuta siziamin hizi avatar huwa nahis ni midume inayojifanya ni ke
 
Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...

Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
Unaanza kwa ku-like posts zake hata kama anaongea pumba, then unakuwa unajibu post zake kwa kumsifia, then unahamia PM, huko sasa unajiachia. All the best..., na mrejesho ulete hapa hapa
 
Vipi una experience hiyo nini[emoji3]
 
Miamia kwako hapo yeye haruki
 
Umetumia muda mwingi kuwaza unafaa ukasaidie serikali ya viwanda
Anza kuntongoza mimi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unaanza kwa ku-like posts zake hata kama anaongea pumba, then unakuwa unajibu post zake kwa kumsifia, then unahamia PM, huko sasa unajiachia. All the best..., na mrejesho ulete hapa hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…