Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kai Kai.Watongozaji hawajitangazi
Ebu kaa vizuri bwana tutete. Sasa ujue hadi nimejitangaza ujue umenijaa kwa mtima .
Nishike mkono nikupeleke kwetu kijenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kai Kai.Watongozaji hawajitangazi
Pesa nipe tuNgoja nifanye majaribio kwako kama kudanganya unafumua mzigo
Unaanza kwa ku-like posts zake hata kama anaongea pumba, then unakuwa unajibu post zake kwa kumsifia, then unahamia PM, huko sasa unajiachia. All the best..., na mrejesho ulete hapa hapaNina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...
Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
Vipi una experience hiyo nini[emoji3]Mimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
Shemeji bahati mbaya sina hiyo experience.Vipi una experience hiyo nini[emoji3]
Miamia kwako hapo yeye harukiMimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
Mond nshamuona yuko vema kabisaShemeji bahati mbaya sina hiyo experience.
Na unatafutwa na Mondray.
Hapo sawaMond nshamuona yuko vema kabisa
Akuu!Kai Kai.
Ebu kaa vizuri bwana tutete. Sasa ujue hadi nimejitangaza ujue umenijaa kwa mtima .
Nishike mkono nikupeleke kwetu kijenge
Umetumia muda mwingi kuwaza unafaa ukasaidie serikali ya viwandaMimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
Anza kuntongoza mimi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
UtajijuaUmetumia muda mwingi kuwaza unafaa ukasaidie serikali ya viwanda
We ushazeeka unashindwa kwenda na beatinawezekana sijui mambo mengi humu eeeh!!
UNA MDANGANYA DANGANYA TU ATAKUBALI