Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kuntongoza mimi[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...
Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Anza kuntongoza mimi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
We zama pm mtemee madini atakuelewa tu.!Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...
Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
Chavichavi ndiyo mdude gani?Nyie watu mnaweza tongoza hata chavichavi maana kwangu mimi kutongoza kuna uhusiano mkubwa na kuona mtu in person bila hivyo sitongozi
Nakupenda Honey wanguKwanini uandikie mate jamani?Hebu jaribu kunitongoza....[emoji125]
Cc.RubiiWe zama pm mtemee madini atakuelewa tu.!
Ila kuwa makini kuna mademu humu wamepinda yaani ukute demu used sana yaani "dashboard"
inasoma 98000000 km.!
Halafu wengi wa hivyo hutumia avatar fake za kuvutia ila ukizama pm wanakuwaga na matusi na kauli chafu mpaka utajuta.!
Mi nlihangaika sana ila nikaja kumpata tulizo la moyo na sasa tunaishi wote nilimpata hapahapa Jf tena ni maarufu sana.
Komaa mkuu utapata tu wamo baadhi tena wazuri wa sura na tabia.
Nzuri hiyo bro..Mimi nahisi itakua inaboa tu. Tuchukulie huku ndo pm sasa.
Castr: Za saa hizi.
Yeye: Nzuri tu mkuu
Castr: Aaah sasa mpaka huku tunaitana mkuu? (Unajichekesha) hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye: Ndiyo kwani kote si jf mkuu?
Castr: Ah una hoja ila ni sawa na kusema mke na mume wakiingia chumbani waendelee kuitana majina ya sebuleni walipokua mbele ya watoto..
Yeye: Ushasema mke na mume mkuu, mi na wewe tupo jf.
Castr: (unajichekesha tena)[emoji23] [emoji23] hahaaaahaaa looool unaonekana una vituko sana, ila nitafurahi usiponiita mkuu.
Yeye: Kwanini nisikuite mkuu?
Castr: Naomba tukutane jmos kesho nikupe sababu za kutoitana mkuu.
Kimya cha Saa 3 kinapita
Baadaye unaingia jf unakutana na uzi huu.
Wanaume tuheshimiane huko pm, wengine tumeolewa.
Unacheki muanzisha uzi, ndiyo ulikua naye pm. Mdau mmoja anasema acha kujifagilia weka ushahidi.
Ushahidi huo hapo juu unamwagwa.
Huo uchonganishi.!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Cc.Rubii