Sijawahi kutongoza JF

Hivi ni mimi tu au kuna wengine ambao nao hawajawahi kutongoza mademu humu JF?

Sasa nawashangaa ambao mnatongoza mademu humu,hisia zinatokaga wapi?Picha uongo ,jina uongo!!

Tena wale wanaokuja kutafuta wachumba ndio kabisaaaa!
Mm sijuagi Demu ni yupi humu Jf. .
Nahisigi wote ni wanaume.
 
Unatongoza mtu ambaye humjui au una assume atakuwa kama Masogange kumbe holla
 
Humu Jf watongozaji wanakilaji hicho,, na pia watongozwaji wanakipaji hicho cha kutongozwa,,
Usijeshangaa unatongoza demu zaidi ya mara mbili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…