Sijawahi kutongoza JF

Sijawahi kutongoza JF

Aah Asprin ni kama huyu trafic anavyomuonea boda boda
18381947_807352442753419_4814782845622943744_n.jpg

Ngoja nirudi kwenye thread ilee ya mapicha ya Asprin
 
Hivi ni mimi tu au kuna wengine ambao nao hawajawahi kutongoza mademu humu JF?

Sasa nawashangaa ambao mnatongoza mademu humu,hisia zinatokaga wapi?Picha uongo ,jina uongo!!

Tena wale wanaokuja kutafuta wachumba ndio kabisaaaa!
Mm sijuagi Demu ni yupi humu Jf. .
Nahisigi wote ni wanaume.
 
Humu Jf watongozaji wanakilaji hicho,, na pia watongozwaji wanakipaji hicho cha kutongozwa,,
Usijeshangaa unatongoza demu zaidi ya mara mbili .
 
Back
Top Bottom