Pre GE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

Pre GE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo
Wewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
 
Alisema hajawahi kua na ndoto, hakusema hatakuja kua na hizo ndoto. Sasa kama hadi August hakua nazo, akazipata septemba ama Octoba kuna ubaya gani?

Pia ilikua trick ama mbinu za medali, unamchanganya adui yako asijue nini utafanya hapo baadae.

Sasa aliposema hawahi kua na ndoto Mbowe meno yote nje, sasa amesema ana hizo ndoto imekua nongwa, wapambe wa Ayatolah Kim Jong Un Freeman Alkaeli Mbowe Kuku Ng'ebendu wa Zabanga Mtawala wa Milele wa Chadema mmechanganyikiwa
 
Alisema hajawahi kua na ndoto, hakusema hatakuja kua na hizo ndoto. Sasa kama hadi August hakua nazo, akazipata septemba ama Octoba kuna ubaya gani?

Pia ilikua trick ama mbinu za medali, unamchanganya adui yako asijue nini utafanya hapo baadae.

Sasa aliposema hawahi kua na ndoto Mbowe meno yote nje, sasa amesema ana hizo ndoto imekua nongwa, wapambe wa Ayatolah Freeman Alkaeli Mbowe Kuku Ng'ebendu wa Zabanga Mtawala wa Milele wa Chadema mmechanganyikiwa
Maria kampoteza sana Lissu
 
Wewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Punguza ujinga wewe msaliti. Lissu kasema hakuwahi kuwa na ndoto huko nyuma, ila kwa jinsi CCM ilivyopata Asilimia 99 ya wizi ndoto ya kuwa mwenyekiti ikaja.

Mbona matusi ya nini au mmeambukizwa na bosi wenu.
 
Huyu jamaa siku zinavyokwenda anazidi kuporomoka sababu hajui anachokitafuta...
Kachukua form za umakamu kaona hapana kavamia za uwemyekiti, kashavamia za urais tayari ..sawa ni haki yake ila kuna jambo halipo sawa kumhusu.
 
Uongo uko wapi hapo? Hakuwa na ndoto hiyo mpaka kufikia muda huo.

Mambo yamebadilika ameona madalali hawako serious na harakati za upinzani. Ameamua awafuate hukohuko juu na kuwaonesha "how it's done!".
 
Back
Top Bottom