Pre GE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

Pre GE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.

View attachment 3186485
Alomtuma Wenje kumsumbua LISSU Uma
Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.

View attachment 3186485
Mwambie aliyemtuma Wenje kugombea Uenyekiti, sababu tu LISSU kawachachafya kwenye kikao Kwa Hoja na shahidi Kisha R.I.P Mzee Kibao.

Huyo huyo ndo kamfanya Wakili Msomi LISSU the Genius , kuamua kuwafata huko huko juu juu
 
Huyu jamaa siku zinavyokwenda anazidi kuporomoka sababu hajui anachokitafuta...
Kachukua form za umakamu kaona hapana kavamia za uwemyekiti, kashavamia za urais tayari ..sawa ni haki yake ila kuna jambo halipo sawa kumhusu.
Na bado hamjasema, alowatuma mmtume Wenje Et amuondoe LISSU?.

Yaan Wenje ashindane na LISSU the Genius Tena kwenye Umakam??.
 
Lisu hana alichopoteza, aliepoteza zaidi ni Mbowe ambae anapiga kelele ukomo wa madaraka wa ccm halafu yeye hataki kua na huo ukomo kwenye chama chake, hizo ni akili ama matope?
Ukomo wa madaraka uje mpaka ktk nchi. Kwa mfano chama kiongoze miaka 10 halafu kimpishe mwenziwe
 
Huyu jamaa siku zinavyokwenda anazidi kuporomoka sababu hajui anachokitafuta...
Kachukua form za umakamu kaona hapana kavamia za uwemyekiti, kashavamia za urais tayari ..sawa ni haki yake ila kuna jambo halipo sawa kumhusu.
Lissu anaishi na Risasi mwilini, na haya ndiyo madhara yake
 
Maskini kaka yangu Lisu kajihukumu kwa maneno yake.Ila nahisi kuna mtu anacheza na ufahamu wa Lisu,tusiache kumuombea maana na Yeye ni binadamu
 
Wewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Hapo haujaongelea hoja iliyoko mezani. Lisu muongo si muongo? Na wewe umetumwa na nani? Angalia mambo ya Cameroon
 
Mimi sijawahi kuwa na ndoto ya kuongeza Mke wa pili lakini mazingira yaliporuhusu nikaona niongeze sasa mimi ni muongo?!
 
Wewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Ila hujajibu hoja zaidi ya kutukana tu kama ilivyo kanuni ya Pro Lissu. Kutukana tu.
 
Mtu kusema "hajawahi kuwa na ndoto"ndio unamtuhumu uongo au hujui Kiswahili?!
Mleta mada ni zuzu, hakuna ubaya wowote mtu kufanya jambo ambalo hakua na ndoto nalo, kufanya hivo wala hakutafsiriki kama uongo.
 
Wewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Jinga la nguvu ni wewe. Umejibu hoja ya post yake? Jibu hoja je Lisu aliwahi kusema hana ndoto za kuwa Mwenyekiti? If yes, anachofanya sas, ni mtu wa kumwamini? Ndiyo hoja ijibu
 
Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.

View attachment 3186485
Si baadae anasema aliombwa sana na watu wa chama kugombea ndicho kilichomsukuma, chama kimeonekana kuyumba sana chini ya Mbowe akaombwa sana agombee hiyo nafasi nadhani si dhambi, Chadema ni chama cha demokrasia mbona leo mnaiyona kahawa hiyo demokrasia kumbe mmekuwa mukihubiri mmdomo ni tu
 
Back
Top Bottom