Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Labda mtu azikopi mwenyewe
Au nizikute kwenye hiyo disk
Au nizikilize radion
Au zitumwe kwenye .agroup.....
Yaani inshort ..sizielewagi tu...
Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu ndio nilizielewa
Lala salama
Ukimuona
Nataka kulewa
Kamuharibu mpaka harmonize
Wa aiyola,kidonda changu kaanza kuimba broken ingilishi
Zuchu nae namfahamu kupitia kampen za wagombea
Mboso...big no
Lavalava hawezi kuimba wimbo mzuri zaidi ta teja wa mapenzi...
Rayvanny BIG NO...ila kwenye freestly ya kurap naweza kumfikilia
Queen doreen........&&&£##
Mavoko...bora alisepa..japo alishachelewa kugundua...tulizimisi zile MBONA SILALI
SIO MAKOSA YANGU...MAKOSA NI YA KAZI...