Sijawahi kuweka nyimbo za Diamond na kundi lake WCB kwenye cd,simu,pc wala flash..

Sijawahi kuweka nyimbo za Diamond na kundi lake WCB kwenye cd,simu,pc wala flash..

Piga kelele tu hapa wakati watu wanatengeneza mlungula! Kupitia kazi zao wanakula,wanakunywa n.k nipo proud nao kwa baadhi ya kazi zao na hata mafanikio yao pia let them make money..
Nazungumzia nafsi yangu..nyie sijawakataza kuziskiza na kuzijaza kwenye devices zenu
 
Diamond na WCB Wana washabiki wao.
Lakini kwa watu wa Caliber za huku jf labda atapata 5 % tu ya watu.

Yeye yupo kibiashara hata Kama hazieleweki na wengi. For as long as anauza, kwake anakua ametimiza Malengo.

Jingine Ni Umri, bro Diamond mashabiki wake Ni less than 22. Years na wachache wa less than 25.
Above hapo hutamwelewa.

Hata mi simuelewi
Vizazi vinavyokuja itakuwa ni balaa tupu...katoto ka darasa la 3 utakuta na kenyewe eti kana video za akina amber luthy huko insta
 
Nyimbo zako za Diamond ulizonazo ndizo ninazo kwenye simu. Wasanii wengine wa Wasafi sina nyimbo zao na Harmonize sina pia. Ali Kiba ninazo tatu pia.
 
toka lini ww ulisha wahi kumkubali Diamond ww kaz kumpangia mtu maisha tu utazan hizo nyimbo mwandishi ni ww apo

angalia ule uzi wako una laumu diamond kumtoa mboso badala ya beka we jamaa network inasoma vizur kweli?
 
Lakini ukweli ndo huo mkuu
 
Back
Top Bottom