Sijawahi kuweka nyimbo za Diamond na kundi lake WCB kwenye cd,simu,pc wala flash..

Piga kelele tu hapa wakati watu wanatengeneza mlungula! Kupitia kazi zao wanakula,wanakunywa n.k nipo proud nao kwa baadhi ya kazi zao na hata mafanikio yao pia let them make money..
Nazungumzia nafsi yangu..nyie sijawakataza kuziskiza na kuzijaza kwenye devices zenu
 
Vizazi vinavyokuja itakuwa ni balaa tupu...katoto ka darasa la 3 utakuta na kenyewe eti kana video za akina amber luthy huko insta
 
Nyimbo zako za Diamond ulizonazo ndizo ninazo kwenye simu. Wasanii wengine wa Wasafi sina nyimbo zao na Harmonize sina pia. Ali Kiba ninazo tatu pia.
 
toka lini ww ulisha wahi kumkubali Diamond ww kaz kumpangia mtu maisha tu utazan hizo nyimbo mwandishi ni ww apo

angalia ule uzi wako una laumu diamond kumtoa mboso badala ya beka we jamaa network inasoma vizur kweli?
 
Lakini ukweli ndo huo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…