Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know this is a petty and childish argument/discussion. Really petty yaani. Ndio maana tunawaambia wanawake wachunge midomo yao sasa imetufikia sisi maana tumefika uku.Natumai mwabuheri wa afya tele na mko vema na huu mwaka mupya. Leo nikiwa ndani ya shoo shoo na pisi mpakato yangu nimeulizwa mbona hujanitafuta ni wiki mbili toka tufamiane ulikuwa unasubiria mwaka mupya ufike ndio uniite?
Hapo ni baada ya kula shoo kama awamu mbili na vibez kama zote, mvuvi baharini hajuagi kiza, nimemuangalia nimecheka sana, nimesema unajua nini mimi siwapendi wanawake wote, sijawahi kuwapenda na haitatokea kumpendeza mwanamke yeyote yule.
Kabla sijamaliza kufafanua huyu "Pisi Mpakato" Amelia sana sana na akiwa analia nimemwambia nasubiria umalize kulia ukinyamaza niendelee kukuelezea.
Baada ya kunyamaza, nikamwambia mimi mwanamke huwa namhitajia kwa kusudi langu tu na kusudi langu sio kupenda, namhitajia mwanamke anifanye niwe kamili kwa kupata thamani ambayo bila kuwa nae naikosa.
Awali kabla ya shoo nilimpa dokeza la swali kuwa mbali na sex umejiandaa kuongeza thamani gani kwangu.?
Imechukua muda sana kunielewa, nikamwambia shoo zipo tu zimejaa tele, nikamwambia mimi nahitaji kula, kuvaa, usafi wa ndani, kupiga pasi, kufua, kufagia, kudeki.
Nikamuuliza toka umeingia ndani umefanya chochote katika hivyo nilivyosema akajibu hapana, nikamjibu ndiomana siwezi kumpenda mwanamke kwa sababu nikimtaka ni kwaajili ya kutimiza matakwa yangu na si ya mwanamke, mimi ndiye mwenye pungufu la kumhitajia mwanamke.
Hivyo kama hujui ni thamani gani unayoleta na kuiacha kwangu zaidi ya ngono hata kesho ukirudi morogoro usirudi tena Dodoma kwa ajili yangu kwa maana sex si hhitaji adimu.
Nimemwambia mimi nkimtaka mwanamke namtaka kutimiza hitaji langu na sio lake, akitimiza ya kwangu nikifurahishwa nayo ndio namhifadhi ndani ya roho na nafsi ndipo ntamfanyia matendo ya appreciation kwa yeye kukidhi mahitajio yangu.
Tendo la ngono mimi kwangu si chochote na siwezi kumkumbuka wala kumpenda mwanamke kisa
furaha au raha ya ngono alonipa
Falsafa ni Ile Ile siwapendi, sijawahi kuwapenda na haitatokea kumpenda mwanamke awaye yeyote.
Bali mimi kwa nia na madhumuni huwa namhitajia mwanamke, na matendo yake yakinifurahisha huwa namzawadia sifa na zawadi kedekede na kumkumbuka.
Karibu kwa hii tafakuri ya kuumiza kichwa na kuchukia na kufarahisha na kuelimisha.
Wadiz a.k.a ndio mimi
Inataka akili kubwa kuelewaYou know this is a petty and childish argument/discussion. Really petty yaani. Ndio maana tunawaambia wanawake wachunge midomo yao sasa imetufikia sisi maana tumefika uku.
Inawasumbua watu kuelewa wengi wanaanza kwa kupanic badala kusoma ujumbe between lines.Vizuri
Niko na tatu mzuka zina kazi kweliYou know this is a petty and childish argument/discussion. Really petty yaani. Ndio maana tunawaambia wanawake wachunge midomo yao sasa imetufikia sisi maana tumefika uku.
Nope sio akili bali ni childish thinking. Akili ni kitu kingine boss, you either trying to demeanize the other gender au ego boost. Ndio maana nikakwambia it's really a petty discussion especially from as men. Tafakari mkuu! Unataka kuwaiga wanawake wafanyavyo, yaani so petty ndio maana tunawaignore maana ni utoto.Inataka akili kubwa kuelewa
"Mioyo ulioichezea ukaitupa/"unajirusha sana itakukatikia kamba ujeuri utaisha na uzee utakukutia njia panda"
"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"...."Mioyo ulioichezea ukaitupa/
Utaenda mbali mwisho utarud kuitafuta/"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Moro dodoma [emoji848][emoji848][emoji848] usije tu ukawa umeshughulikia mbususu ya mmasai wangu we jamaa mana huku hali ya penzi ni tete [emoji3][emoji3]
Dah vina[emoji16][emoji119][emoji119]"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"....
"Siwezi sema hautopata bwana kama mimi/tupo wengi ila utanikumbuka naamini"
"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"....
"Siwezi sema hautopata bwana kama mimi/tupo wengi ila utanikumbuka naam
Mkuu nani kaimba hii?? Naiomba plz"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"....
"Siwezi sema hautopata bwana kama mimi/tupo wengi ila utanikumbuka naamini"