Sijawahi na sitawahi kumpenda mwanamke awaye yeyote daima

You know this is a petty and childish argument/discussion. Really petty yaani. Ndio maana tunawaambia wanawake wachunge midomo yao sasa imetufikia sisi maana tumefika uku.
 
You know this is a petty and childish argument/discussion. Really petty yaani. Ndio maana tunawaambia wanawake wachunge midomo yao sasa imetufikia sisi maana tumefika uku.
Inataka akili kubwa kuelewa
 
You know this is a petty and childish argument/discussion. Really petty yaani. Ndio maana tunawaambia wanawake wachunge midomo yao sasa imetufikia sisi maana tumefika uku.
Niko na tatu mzuka zina kazi kweli
 
Inataka akili kubwa kuelewa
Nope sio akili bali ni childish thinking. Akili ni kitu kingine boss, you either trying to demeanize the other gender au ego boost. Ndio maana nikakwambia it's really a petty discussion especially from as men. Tafakari mkuu! Unataka kuwaiga wanawake wafanyavyo, yaani so petty ndio maana tunawaignore maana ni utoto.
 
Ukifuliwa,ukipikiwa na kufanyiwa usafi ndio unaona umepaza kwanin afanye hizo kazi wewe huwez fanya kazi zako
 
I imagined my son saying this and all I can think of is
WHAT DID I DO WRONG FOR YOU TO TURN OUT LIKE THIS

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Uzuri kila mtu ana falsafa yake ya maisha [emoji4]amini tu falsafa yako mkuu
 
"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"....

"Siwezi sema hautopata bwana kama mimi/tupo wengi ila utanikumbuka naamini"
Dah vina[emoji16][emoji119][emoji119]
 
Mbaya ni kuwa na Huyu na Yule lakini iwapo una mke mmoja wa ndoa kutakuwa na shida gani?

Vinginevyo utakuwa wamekuroga nduguzo tena watakuwa wamekufunga vifungo Kwa spana!
 
Jikague nafsi yako kwa ndani kwanza , tafuta kujiponya,
Kwa hali hata ukijaribu penzi halitafanya kazi!
 
Isiponifunza kuanza Kwa kujipenda mwenyewe hata ukija jaribu kumpenda mtu mwingine the relationship will not work [emoji108]
 
Don’t look for a perfect woman rather than a trying woman [emoji68]
 
"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"....

"Siwezi sema hautopata bwana kama mimi/tupo wengi ila utanikumbuka naam

"na hauta ikuta tena,aisee utaweweseka/utapogundua uzuri haukuzuii kuzeeka"....

"Siwezi sema hautopata bwana kama mimi/tupo wengi ila utanikumbuka naamini"
Mkuu nani kaimba hii?? Naiomba plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…