Sijawahi ona mtu ameandika JF kujisiifia amepeleka mtoto English Elementary ila Wazee wa Kayumba ni taarab kila kona ili wapate faraja ya uamuzi mgumu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia.

mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
67998f7d20353b45f980436fe11f7331.jpg
 
Kwa Tanzania na Afrika Elimu ni Elimu tu.

Elimu anayopata wa kayumba na yule wa magari ya njano mwisho wa siku matokeo ni yale yale baada ya kuhitimu (Kusota mtaani)
 
Pale st LIKUD hamna elimu nikujipa moyo au kujifariji pale watoto wengi wanatoka patupu kati ya 100 unakuta wanao tomato ni watano tu, kinacho sumbua watanzania wengi hawajazoea kulipia huduma kama shule wanajua ni jukumu la serikali wengine wanakosa muamuko wa elimu tu.
 
Hahaha

Uko sahihi

Elimu gani eti hadi uwe exceptional and extra minded ndip upate division 1

Some kids need to be pushed and guided and motivated ili wawe bora
 
Hizo div 1 zenu za kukariri maswali ya past papers sio akili.

Bahati mbaya sana mnachanganya kuwa na akili na usomi.

Unaweza kuwa na PhD ila huna akili.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom