Sijawahi sex hata one day

Tunza uoga wako mkuu, msubiri mkeo aje akufundishe mambo!
 
Ndo ujue bado hujaiva vizuri kufanya hayo mambo. Umri ukifika utajiamini. let time play its part. Dont force things. ok budy?
 

Adam, wewe usipoteze muda wako kufikiri sana itakuwaje. ujue hapa kuna pande 2 kiziwi na bubu nao hawa wawili wakikutana ajabu ya Mungu huweza kuzungumza, kusikilizana na kuelewana, nina maanisha hawa jamaa wawili waishio katikati ya miguu huwa wana mawasiliano ya karibu sana, siku wakionana wenyewe watajua namna ya kuzungumza na utashangaa kasi na ufanisi utakaokuwa nao ck ukiamua kufanya kweli, we ulilona wapi nyoka akafunzwa kugonga, anazaliwa na sumu yake na anagonga bila kupata shule yoyote sembuse wewe binadamu umeshaona mikanda ya X mingapi, umesimuliana na wenzako mambo kibao utashindwaje? amka chukua hatua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…