Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wewe umeshaliona na kukubali kwamba hilo kama ni tatizo then hilo ni tatizo.nature ndiyo nini mm naona hili ni tatizo
we ni m#%^$e sana! sijui ulikuwa unategemea ushauri gani kwa studip topic kama hii!Kwaherini sijaridhishwa na ushauri
We vipi?we ni m#%^$e sana! sijui ulikuwa unategemea ushauri gani kwa studip topic kama hii!
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje siku akihitaji sex wengine wananifata nakataa sio kwa siwapendi au sitaki hapana nikwamba nafikiri itakuaje sasa hiyo siku akitaka? Na wengine nawatoke mwenyewe wanakubali wakihitaji sex nawazungusha hadi wananitosa wananiona siosio ila mimi najiona niko poa ,sasa hii inakuaje? Na mimi nahitaji kupasha. yaani hadi naogopa kwa hali hii ntakuja kuoa!! Sasa sijui nifanyeje ili niwe na confidence yakutosha maana najikaza lakini bado naloose