Sijawahi sex hata one day

Sijawahi sex hata one day

Subiri mpaka utakapooa maana hakuna lolote unalomiss.
 
Sex sio dili wala nini ww endelea kugandamiza Godoro hilo ila angalia misuli isisinyae!
 
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje siku akihitaji sex wengine wananifata nakataa sio kwa siwapendi au sitaki hapana nikwamba nafikiri itakuaje sasa hiyo siku akitaka? Na wengine nawatoke mwenyewe wanakubali wakihitaji sex nawazungusha hadi wananitosa wananiona siosio ila mimi najiona niko poa ,sasa hii inakuaje? Na mimi nahitaji kupasha. yaani hadi naogopa kwa hali hii ntakuja kuoa!! Sasa sijui nifanyeje ili niwe na confidence yakutosha maana najikaza lakini bado naloose

Hongera sana, lakini tahadhari usichelewe kuoa
 
angalia mbuzi wanavyofanya, then ka aply.
 
Jikaze vumilia ndugu Mungu akupe mke bikira usiofu, ni nature haiitaji kufundishwa na usiharakie mpaka mda ufike.
"Soma vitabu vy ndoa"
 
Sex zipo za aina nyingi, homo and hetero, unataka kufanya ipi zmbzyobado? Ongelea maisha ya wa TZ acha kupoteza muda wetu. Ata kura hujawahi piga ukute
maisha ya watanzania yamefanyanini mkubwa ww umishawahi kutetea nn nakafanikisha kwa taarifa watanzania wamechoka na maneno maneno bila vitendo subiri kumi na tano utanisikia
 
usije ukamwuuwa mwenzio hiyo siku utafungulia vyombo
 
Kaka mada za kipumbavu usilete humu kabisa..uliza marafiki zako au unaishi bila masela wako? tena koma.
kweli ww mzee wa njaa huwa siongei na wazee maana ww damu imisha poa hivyo maada haikuhusu ww hesabu tu siku na tukutane jukwaa la siasa
 
24yrs, hja du, huja pullika!!!, unaishje mkuu.....?? Hv jogoo anawika kweli??!
hata mim nashangaa! 24yrs hata puli haijui,mtarimbo utakuwa umelala doroooo!Wewe bado ni dogo hata kama una 24yrs coz hujajua ku 'do' bado.Ukiwa mkubwa utajua.
 
Sasa miaka 24 wewe mkubwa?????hapo ulipo unasoma na unatengewa bajeti......kama upo chuo sana sana unafanya shahada ya kwanza na labda upo mwaka wa piliiiiii......
mm sio dogo kama unavyodhani
 
Back
Top Bottom