ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huwa nashangaa mtu ananunua eneo ajenge nyumba ya kuishi katikati mwa mji (city center) aisee rafiki zangu me kila mkoa nilioishi sijawahi kutamani kupanga chumba mjini.
Napenda nikae sehemu nje kidogo ya Mji ili nikitaka mahitaji niseme naenda mjini nipande na usafiri kabisa.
Maeneo ya mijini licha ya kelele nyingi za mjini ila mikoa yetu mingi mjini kwake maeneo yanakuwa hayana miundombinu mizuri utakuta mvua imenyesha inakuwa tabu mixer mafuriko madogo madogo.
Mjini pabakie sehemu za biashara na huduma sio kukaa kisa tu ni kuzuri au unaokoa gharama za usafiri.