Sijawahi/sitawahi kukaa mjini

Sijawahi/sitawahi kukaa mjini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Huwa nashangaa mtu ananunua eneo ajenge nyumba ya kuishi katikati mwa mji (city center) aisee rafiki zangu me kila mkoa nilioishi sijawahi kutamani kupanga chumba mjini.

Napenda nikae sehemu nje kidogo ya Mji ili nikitaka mahitaji niseme naenda mjini nipande na usafiri kabisa.

Maeneo ya mijini licha ya kelele nyingi za mjini ila mikoa yetu mingi mjini kwake maeneo yanakuwa hayana miundombinu mizuri utakuta mvua imenyesha inakuwa tabu mixer mafuriko madogo madogo.

Mjini pabakie sehemu za biashara na huduma sio kukaa kisa tu ni kuzuri au unaokoa gharama za usafiri.
 
We sema huna uwezo wa kununua kiwanja mjini kiwanja mjini mpk bilion moja ss ww mtumishi wa serikali unataka kiwanja cha milion 3 lazima ukakae chanika kigambon huko mbande tuwangoma ndo unasema sehem nzuri ila sema huna hela huwez kataa kukaa upanga useme eti kuna kelele na miundo mbinu mibovu wakat ikulu imejengwa hapo hapo
 
Back
Top Bottom