Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sijaelewa vizuri lakini hata kupendeza sioni yakipendeza. Ni kama mtu aliyevaa shati la kung'aa.Unajenga nyumba yakuishi milele au ya kupendeza mkuu?
Sijakataza watu kuweka ya Aluminium.Mkuu wewe weka hayo ya mbao. Haya fake waachie wengine.
Kwanini huyapendi?Binafsi siyapendi kabisa ila nliweka kwenye nyumba yangu sababu ndo fashen
Weka hayo unayoona yanapendeza mkuu. Wanasema 'uzuri wa kitu uko machoni pa mtu'Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.
Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa.
Bila shaka wenzetu walianza kutumia madirisha ya namna hii kwa sababu ya uhaba wa mbao na bei kubwa ya mbao na si uzuri wake.
Unayaonaje madirisha haya? Na huku kwetu dirisha la mninga na la aluminium ya ukubwa sawa lipi ni bei kubwa?
Mada siyo mimi kuweka au kutoweka.Weka hayo unayoona yanapendeza mkuu. Wanasema 'uzuri wa kitu uko machoni pa mtu'
Kwa hiyo mkuu hoja yako ni gharama na sio uzuri tena. Hivi dirisha la mbao una maanisha top ya dirisha au frame ya dirisha? Binafsi sioni utofauti wa hayo madishisha kwa upande wa uwazi wa kuingiza hewa. Upana au ukubwa wa nafasi ya kuingiza hewa unategemea design ya dishisha lako.Mada siyo mimi kuweka au kutoweka.
Unayaonaje madirisha haya? Na huku kwetu dirisha la mninga na la aluminium ya ukubwa sawa lipi ni bei kubwa?
...Pole mkuu, mie pia siyakubali hayo ya aluminium, lakini sababu naskia ni fasheni na unafuu wa gharama..Hayo ya aluminium ni far cheaper kuliko ya mbao.Mada siyo mimi kuweka au kutoweka.
Unayaonaje madirisha haya? Na huku kwetu dirisha la mninga na la aluminium ya ukubwa sawa lipi ni bei kubwa?
Unakuwa unatumia nusu tu ya dirisha, yanafaa sehem za baridiKwanini huyapendi?
Tuwekee yako tuone labda tutabadili mawazo.Sijakataza watu kuweka ya Aluminium.
Weka madirisha makubwa kiasi kwamba hata ukifungua robo inatosha.Unakuwa unatumia nusu tu ya dirisha, yanafaa sehem za baridi
Mbona mimi ninayo na sina AC na maisha yako poa tu?!!Mimi siyapendi sababu sehemu ya kuingiza hewa inakuwa nusu dirisha..
Kwa joto la dar alluminium ili ikufae uwe na air conditions vyumbani na sebulen
Mninga ni gharama kubwa, huko rufiji wanachomea mkaa, huku mjini ni dhahabu.Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.